Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

Nyumba kubwa kunavuja kuna leakage mahali.... Muundo wetu wa habari za siri sio air tight mark tena! Kuna mianya

Mange amekuwa the first to know figure kwenye mambo mengi sana... Ni nani anampenyezea habari nyeti kabisa? Za watu binafsi na hata nyumba kuu? Au ni wale wanajeshi mashushushu waliokuja na Obama Kisha tukawakabidhi paa letu ili waangalie usalama?

Mange amekuwa snowden wa Tanzania.. Lakini sijui Kama kwa hali ilivyo atavumiliwa sana....namkumbuka Ben pekeyake na chatu
Leo kwa habari za chini ya zulia ilitoka hati ya kumkamata pengine huko aliko lakini akainyaka kabla haijamfikia rasmi... Kama kawaida yake kawafungukia mbaya

Namkumbuka Karegeya wa Rwanda na kilichompata hotelini South Africa peke yake chumbani
Kwa nini unashikia bango kuvuja kwa habari wakati hujajikita kuona umuhimu wa wananchi kuwa na habari?

Unatetea usiri wa kizandiki wa serikali ya kifashisti?
 
Kuchamba kwingi tu.Hivi ikitokea pasi yake imekwisha atakapotakiwa arudi nyumbani kushughulika na pasi mpya atafanyaje
Pasi yake ni ya uraia inaweza isha vp wewe!??? Aise kama aliikata na mimi vile.... Lumumba fyateni midomo yenu.. Ha Ha Ha
 
If they are real smart n committed they will track down the leakage

Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
Nina wasiwasi kama hilo litawezekana maana si ajabu ukakuta aliyeandika hiyo barua alilazimishwa na kaivujisha makusudi kumlinda huyo mdada. Kumbuka serikal hii viongozi wengi washachoka kushurutishwa ovyo sema basi tu wapo kulinda mikate yao ya kila siku
 
Mange ni shujaa sisi tunamshangaa coz tumezoea kua makondoo cjui watu kama yeye marekan wako mamilioni wanaikosoa serikali watakavyo mpaka nchi inanyooka
Mi nashangaa sana mijitu imejaa woga wa kipuuzi kweli mtu anatajirika kupitia rushwa tunamuona tunaishia kulalama ndani kwa ndani tu bora ayaanike tuelewe moja tu....tunaishi kama makondoo tu kweli alieturoga kafa
 
mbona hiyo doc haionekani kuwa ni ya siri. ni tangazo au taarifa kwenda vituo vyote vya uhamiaji, kwangu si tangazo la siri na wala halionyeshi kuwa lilikuwa la siri.kingine mtu anayemuunga mkono mange nahisi ana upungufu wa akili kama mange alivyo.
Umevurugwa wewe!
 
Huyu Dada kwakweli ataishia pabaya chuki zake na visasi kwa watu vitammaliza. Hapo alipo ana kesi nyingi za kujibu, akishtakiwa hawezi kutoka.

Akimchukia Mtu hawezi kumwacha bila kumchafua, huyuhuyu aliingiwa chuki kwa Makonda. Kila akifanyacho akawa anamkosoa, tena anamkashifu. Ilipoanza vita ya kufukuza mashoga, akazusha Makonda ni shoga anafukuza shoga wenzie. Akatuma hadi screenshot akichat na mtu, eti fulani kamwambia kuna mtu wa CCM alikatwa jina ubunge kisa anamchukua Makonda chakula ya Mkuu.

Alikemea sana madawa, ila asiyempenda alipoiongoza vita akaanza mengine. Hapo ndipo tukasikia yule anayemwita shoga kadinda hadi ana mchepuko wa kando.
Kiufupi siwezi kumwita Msema Kweli bali ni mlipa visasi kwa kutumia mtandao,

Huyuhuyu Mbaya wake alitangaza kuolewa akaanza kampeni za kuhakikisha haolewi. Alimchafua awezavyo mtandaoni, halafu sasa ukiangalia ukosoaji Wake unawahusu maadui zake tu na si wengine.

Jiulizeni wanaofanya makosa ni maadui zake tu?

BINAFSI NAOMBA SANA ASHIKWE AKAJIBU KESI ALIZO NAZO, SIWEZI KUMTETEA HABITHI(MZANDIKI). AKIAMBIWA UKWELI KUHUSU MAKOSA YAKE NI ANAKUBLOCK.
 
C ajabu wewe ambaye unaonekana unampinga kuna wengine wanakuona unaupungufu wa skill mara 100 ya huyo Mange
 
Hajakana na hana sifa za kupata uraia wa Marekani kutokana na criminal records zake na alishawahi kuidanganya mahakama.Ni mtu asieaminika,anaishi kwa green card kwa kuwa tu ana watoto,wakifika 18,patachimbika.
Ikitokea mtalaka akachukua watoto,(jambo ambalo litatokea soon) Mange atakosa haki ya kuishi America.
Unasubiri Nazi chini ya mwembe.
 
Usa sio Africa kwanza wanausalama wa kule wakiona kitisho chochote wanakwambia na watakuuliza Kama unataka ulinzi wao!!!
Mfn mzur ni chahali saga
tena ukienda kichwa kichwa utakamatwa asee waulize wanaigeria walvo mficha mtu kwenye diplomatic bag
sioni ata cha kuogopa hapa
By tha way m naona kama unafundisha watu uoga tuu
 
U know hii ishu ya Mange even USA gvt wanaijua so wako alert na wanajua kunawwza kuwa na jaribio la.kumdhuru so tz haiwezi kuwa wapumbavu na kujaribu kufanya kitu kwenyw ardhi ya USA itakuwa ni act of war between countries ....are u ready for that??? Mwenyewe alisema maofisa wa tz walienda us embay kuomba wakabidhiwe mange but Wakatimuliwa .....so they have to wait mpk arudi
 
mbona hiyo doc haionekani kuwa ni ya siri. ni tangazo au taarifa kwenda vituo vyote vya uhamiaji, kwangu si tangazo la siri na wala halionyeshi kuwa lilikuwa la siri.kingine mtu anayemuunga mkono mange nahisi ana upungufu wa akili kama mange alivyo.
Akili bila akiri haisaidii kitu!! Wewe akili yako inazidiwa na ya bashite
 
Hajakana na hana sifa za kupata uraia wa Marekani kutokana na criminal records zake na alishawahi kuidanganya mahakama.Ni mtu asieaminika,anaishi kwa green card kwa kuwa tu ana watoto,wakifika 18,patachimbika.
Ikitokea mtalaka akachukua watoto,(jambo ambalo litatokea soon) Mange atakosa haki ya kuishi America.
keep on dreaming
 
Huyu Dada kwakweli ataishia pabaya chuki zake na visasi kwa watu vitammaliza. Hapo alipo ana kesi nyingi za kujibu, akishtakiwa hawezi kutoka.

Akimchukia Mtu hawezi kumwacha bila kumchafua, huyuhuyu aliingiwa chuki kwa Makonda. Kila akifanyacho akawa anamkosoa, tena anamkashifu. Ilipoanza vita ya kufukuza mashoga, akazusha Makonda ni shoga anafukuza shoga wenzie. Akatuma hadi screenshot akichat na mtu, eti fulani kamwambia kuna mtu wa CCM alikatwa jina ubunge kisa anamchukua Makonda chakula ya Mkuu.

Alikemea sana madawa, ila asiyempenda alipoiongoza vita akaanza mengine. Hapo ndipo tukasikia yule anayemwita shoga kadinda hadi ana mchepuko wa kando.
Kiufupi siwezi kumwita Msema Kweli bali ni mlipa visasi kwa kutumia mtandao,

Huyuhuyu Mbaya wake alitangaza kuolewa akaanza kampeni za kuhakikisha haolewi. Alimchafua awezavyo mtandaoni, halafu sasa ukiangalia ukosoaji Wake unawahusu maadui zake tu na si wengine.

Jiulizeni wanaofanya makosa ni maadui zake tu?

BINAFSI NAOMBA SANA ASHIKWE AKAJIBU KESI ALIZO NAZO, SIWEZI KUMTETEA HABITHI(MZANDIKI). AKIAMBIWA UKWELI KUHUSU MAKOSA YAKE NI ANAKUBLOCK.
KILA MWENYE MAKOSA ASHITAKIWE..MANGE NA WENGINE PIA.........
 
Back
Top Bottom