PreGE2025 Polisi wafika Ofisi za ACT Wazalendo kumkamata Janeth Rithe kwa agizo la ZCO

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Dawa pekee ni kuvunja muungano Tanganyika iwe huru mkoloni kaburu wa Zanzibar abakie kwake
 
Safi akatoe maelezo ya Samia kuchanganyikiwa akiwa sero.
 
Mazingaombwe tu hayo, sote tunajua kwamba ACT MAENDELEO ni CHICHIEMU Bi.
 
Polisi tangu lini matusi yakawa ndio hoja za Kampeni,kamata huyu mpumbavu mmja akapate adabu.
 
Amka kwenye ndoto mkuu nchi inapata maendeleo
Mandeleo 🤣🤣🤣🤣🤣 kila kitu ziiii.
Alafu deni lile 107T
Tuineshe maendeleo ya kimkakakati usije taja daraja wala shule hivyo ni vitu normal tupe kitu kinatutambulisha kimataifa katika soko la nje ya nchi. ..?
 
Polisi tangu lini matusi yakawa ndio hoja za Kampeni,kamata huyu mpumbavu mmja akapate adabu.
Walikuwepo madikiteta hatari kama iddy Amini Dada Rungu Chiluba mabutu Bokasa makaburu leo hii wapo wapi? Ushetani wenu nao utafika mwisho
 
Mandeleo 🤣🤣🤣🤣🤣 kila kitu ziiii.
Alafu deni lile 107T
Tuineshe maendeleo ya kimkakakati usije taja daraja wala shule hivyo ni vitu normal tupe kitu kinatutambulisha kimataifa katika soko la nje ya nchi. ..?
Deni sio shida inadaiwa marekani sembuse sisi
 
Deni sio shida inadaiwa marekani sembuse sisi
Marekani inadaiwa ila ujua maendeleo yake kisiasa kiuchumi kuteknlojia na kila kitu. Nimekuuliza tupe shughuli yeyote iliyo asisiwa na CCM alafu unauzika nje ya nchi na kutyingizia mapesa ya kutosha kama sio utekaji na kukopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…