ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Baada ya kukupa dozi au siyo? Ni hivi mtashughulikiwa ipasavyo kama huamini Toka hadharani na wewe karopoke kama huyo mpuuzi unaemhangaikia hapa.Uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho nilijua hilo mapema kwani watered wa wa ibirisi ccm wengi mnashinda mkivuta bangi huko gheto kwa Amos makala kisha kuja kusumbua watu huku jukwani, kipimo cha IQ ndogo hapa JF huwa ni kuigusa ID ya JF kwani hata yako ni ya kishamba lakini hatugusi tunakomaa na wewe kilaza mvuta bangi pekee
Shangwe Ayo, Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano ya Umma wa ACT Wazalendo na Waziri Kivuli wa Utumishi wa Umma na Utawala Bora, kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), ametangaza kuwa Polisi wamevamia ofisi za chama hicho na kumkamata Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa, Janeth Rithe.
Shangwe ameandika kuwa polisi wamedai kuwa wanatekeleza agizo kutoka kwa ZCO (Ofisa Upelelezi wa Mkoa). Hata hivyo, haijabainika wazi ni kwa sababu gani kiongozi huyo wa wanawake anatafutwa na vyombo vya dola.
Janeth Rithe pia amethibitisha kupokea ujumbe kuhusu kutakiwa kwake na Vyombo vya Usalama, akisema: "Ni kweli nimeletwa ujumbe kwamba nahitajika, ndiyo naelekea kwa ZCO."
Zito amesema wanakwenda kupiga kuraπ€£π€£Shangwe Ayo, Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano ya Umma wa ACT Wazalendo na Waziri Kivuli wa Utumishi wa Umma na Utawala Bora, kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), ametangaza kuwa Polisi wamevamia ofisi za chama hicho na kumkamata Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa, Janeth Rithe.
Shangwe ameandika kuwa polisi wamedai kuwa wanatekeleza agizo kutoka kwa ZCO (Ofisa Upelelezi wa Mkoa). Hata hivyo, haijabainika wazi ni kwa sababu gani kiongozi huyo wa wanawake anatafutwa na vyombo vya dola.
Janeth Rithe pia amethibitisha kupokea ujumbe kuhusu kutakiwa kwake na Vyombo vya Usalama, akisema: "Ni kweli nimeletwa ujumbe kwamba nahitajika, ndiyo naelekea kwa ZCO."
Yupo chauma ubwabwa kwa mkopo lakini gizaniMkuu, kwani Mh. Mbowe amehama Chadema?
ibirisi wa ccm hawashindi chaguzi zote mnaiba kura nyie siyo chaguo la waoiga kura ndiyo maana mnaendesha Nchi kimabavu kama wale makaburu wa Africa kusiniKwanza hamtakuja kuchukua Nchi, uliwahi ona wapi wanachukua Nchi ambao Wana visasi?
Pili Kwa nini mtu jailbreak wakati ni wakosoaji mnatakiwa kuonesha Demokrasia mnayohubiri? ππππππππ
Nyie mtachukua Nchi ya ufipa na sio Nchi ya Tanzania.
Mm simlaani mabeyo. Nailaani ccm. Hawa ndiyo wabaya wa nchi hiiHadi wanawake wenzie anawakamata tu.
Ulaaniwe Mabeyo popote ulipo
Poleibirisi wa ccm hawashindi chaguzi zote mnaiba kura nyie siyo chaguo la waoiga kura ndiyo maana mnaendesha Nchi kimabavu kama wale makaburu wa Africa kusini
Ni ujinga sana kuendekeza kila anayekushutumu unahangaika nayeHivi Hawa wanasiasa hawawezi kuhubiri siasa kwa agenda zao bila kuweka matusi kwa Raisi wa Nchi?
Wanadhani ipo namna ya kuporomosha matusi kwa Raisi halafu Dola ikakaa kimya?
Ipi hiyoIle clip ya jana kuwa raisi kachanganyikiwa
WAnafanya kazi kwa weredi mkubwaJanet,asisahau kubeba Yale mafuta maana polisi wa Tanzania πππππ
Hio ni sawa,huwezi kumtukana mtu vile,toa sera sio matusiShangwe Ayo, Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano ya Umma wa ACT Wazalendo na Waziri Kivuli wa Utumishi wa Umma na Utawala Bora, kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), ametangaza kuwa Polisi wamevamia ofisi za chama hicho na kumkamata Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa, Janeth Rithe.
Shangwe ameandika kuwa polisi wamedai kuwa wanatekeleza agizo kutoka kwa ZCO (Ofisa Upelelezi wa Mkoa). Hata hivyo, haijabainika wazi ni kwa sababu gani kiongozi huyo wa wanawake anatafutwa na vyombo vya dola.
Janeth Rithe pia amethibitisha kupokea ujumbe kuhusu kutakiwa kwake na Vyombo vya Usalama, akisema: "Ni kweli nimeletwa ujumbe kwamba nahitajika, ndiyo naelekea kwa ZCO."
Hizo ni drama tuu, aangalie wasimbakeShangwe Ayo, Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano ya Umma wa ACT Wazalendo na Waziri Kivuli wa Utumishi wa Umma na Utawala Bora, kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), ametangaza kuwa Polisi wamevamia ofisi za chama hicho na kumkamata Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa, Janeth Rithe.