Vesuvius
JF-Expert Member
- Jun 27, 2021
- 2,478
- 5,102
Mmeamrishwa kuweka profile picha za aina moja na mmetii..nyie kuna watu wanajua mind controlKwani unatununulia wewe bando?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmeamrishwa kuweka profile picha za aina moja na mmetii..nyie kuna watu wanajua mind controlKwani unatununulia wewe bando?
Kweli MUNGU yupo kaka.....Kwa jinsi unavyochangia humu inaonekana umepata cheo hivi karibuni ambacho hukustahili kukipata na bahati mbaya sana cheo hicho ni kila kitu kwako na unaamini utaishi nacho Milele.
Ila nikukumbushe tu Mungu yupo.
🤣🤣Female ever dictator
-Samia Suluhu Hassan
Sawa MATAGA, kazi iendelee na Female ever dictator🤣🤣
Mmeshazoeleka.....
Mh.Jakaya Kikwete mlianza kumuita DIKTETA....akawahoji kuwa "kweli anafanana na madikteta ilihali hajazitumia hata nguvu KUBWA za kikatiba(presidential decree)
Baadae mh.Mnyika akiwa bungeni akamuita mh.Jakaya Kikwete kuwa ni KIONGOZI ,RAIS LEGELEGE.....
HAMUELEWEKI
Hayati JPM mkamuita DIKTETA na kumpinga sana......
Mh.Rais SSH ndani ya siku 100 mkamsifu baada ya kuwatoa rumande akina MDUDE NYAGALI na UAMSHO...Mbowe.....
Juzi tu amekuwa DIKTETA....
Mnamuita FEMALE DICTATOR😲😲😲
Lugha mnayoielewa ni ileile lugha ALIYOWAAMBIA hayati kipenzi chetu JPM......
#KaziIendelee
#NchiKwanza
#UtulivuKwanza
Na wewe kamtafute wa kwako anayeungwa mkono na dunia kama hujamleta polepole mwenye mtindio wa akili kama weweYaani mmetafuta mtu wenu mmoja huko Birmigham eti ndio mchambuzi wa demokrasia yaAfrica??
Natambua unachokihisi Mkuu.Wewe ungekuwa ná uvumilivu kama babaako angetandikwa risasi 16 bila kuwa ná hatia yoyote ile? Wewe ungekuwa na uvumilivu kama Ben Saanane na Azory wangekuwa ni ndugu zako Baba mmoja mama mmoja halafu wanapotea kinyemela na Serikali kugoma kufanya uchunguzi?
FYI Chadema wamekuwa wavumilivu kwa miaka 30 sasa. Nchi ina mfumo wa vyama vingi tangu 1991 lakini katiba ya nchi ni ile ta chama kimoja!? Unataka wawe wavumilivu kwa muda gani ili wewe uridhike ná uvumilivu wa Chadema? Miaka 30 mingine!? 😳😳😳😳
Intelligence ya Tanzania its too low....wanarudia makosa yaleyale ya Mo dewji.MUJINI tunasema IMEKULA KWAO sasa polisiccm wanahaha jinsi ya kumuachia mtuhumia wa ugaidi bila dhamana. Ngoja tusubiri tuone hii kasheshe inavyoendelea. Nimetokea kuipenda sana Twitter kwani kwenye sakata kama hili la Mbowe ni rahisi sana kuvitag vyombo vya habari vikubwa duniani ná pia Viongozi wakubwa duniani hasa wale wa nchi za Magharibi AKA BEBERUS,
Ndugu mtz fake Leo napo unatuambiaje,uliambiwa ni upambikizi Bado ukajisingizia uu mzalendo kweli au uongo🤔Sehemu salama ya Gaidi ni jela, Mbowe yupo sehemu anayostahili, anapiga story na kunguni tu, hakuna mwekezaji serious anayeona Mbowe ni mtu muhimu, hizi story zenu za vijiweni zibaki huko huko kwa nyumbxxx wenzio.