Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Tangu atamke neno chokochoko. Wateule wake wanamharibia bila yeye kujua
Kwanini tunamlaumu kwa mambo ya kipolisi kana kwamba kila kitu kinafanyika kwa maelekezo yake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangu atamke neno chokochoko. Wateule wake wanamharibia bila yeye kujua
Utawala wa sheria,naam utawala wa sheria wa kupekua mtu usiku!!Subiri afike mahakamani haki itapatikana huko msitake Rais aingilie mhimili mingine pamoja na utendaji kazi wa idara zake.
Katoka Mdude
Wametoka Mashehe
Seti yupo nje
Hata Mbowe atatoka kama hakuwa na hatia.
Huo ndio utawala wa sheria.
Wewe kwa akili yako hata kama ni mbovu, unaamini kuwa jeshi la polisi lifanye kitu cha aibu namna hii kinyume na mtizamo wa amiri jeshi mkuu wa majeshi yote? Umesikia akisema kitu mama mwenyewe? IGP umemsikia akisema lolote juu ya hicho kitendo/tamko la aibu?Kwanini tunamlaumu kwa mambo ya kipolisi kana kwamba kila kitu kinafanyika kwa maelekezo yake?
Daima serikali ikiboronga analaumiwa kiongozi mkuu . Siyo vikaragosiKwanini tunamlaumu kwa mambo ya kipolisi kana kwamba kila kitu kinafanyika kwa maelekezo yake?
Wewe kwa akili yako hata kama ni mbovu, unaamini kuwa jeshi la polisi lifanye kitu cha aibu namna hii kinyume na mtizamo wa amiri jeshi mkuu wa majeshi yote? Umesikia akisema kitu mama mwenyewe? IGP umemsikia akisema lolote juu ya hicho kitendo/tamko la aibu?
Atamtoa tu huko Mahabusu hedhi ikimalizika, Ndio ukweli wenyewe , hutaki kumeza tena chini!Toka nchi hii ipate uhuru kuna kesi kama mbili ama tatu za Uhaini. Lakini toka tumepata kuanza mfumo wa vyama vingi vya kisiasa kumekuwepo na kamatakamata hasa kule ambapo Samia katoka Zanzibar kutokana na mfumo wao wa Siasa za chuki.
!
Magufuli alikuwa mhuni tu na ukatili wake wa kumalizana kikatili kisiasa kwa Wapinzani wake uongozi wake uliweza kutumia mfumo wa kueliminate Wapinzani mfano hai ni tukio la Lissu. Pamoja na mambo yake kidogo alikuwa na haya ama aibu kwa kuogopa kuonekana mbele ya jamii ya wastaarabu ukatili wake kukaundwa msemo wa watu wasiojulikana.
Huyu mama sijui anatafuta nini ama haelewi kuwa kapachikwa pasi moja mbaya sana kutokana na kusifiwa kuwa anaupiga mwingi sasa kapewa pasi mkasi kwa kumpa Kiongozi wa Chama kikuu cha Upinzania kesi ya Ugaidi. Mama ajue kabisa kajitafutie ubaya na waliokuwa wanampenda.
Hofu yake ni nini kwani angeacha haya makongamano ya kudai katiba mpya angepungukiwa na nini? Kenya wanaupinzani Mkubwa na kufikia hatua ya Mpinzani kujiapisha kuwa Rais wa watu wa Kenya hatukusikia Ugaidi wala Uhaini.
Mama nakutabiria utaongoza hii nchi kwa hofu kubwa sana. Tegua huu mtego ambao wapinzani wako ndani ya CCM hasa akina Mwigulu wanakupigia ngoma unaicheza.
Zipa masikio acha kukanyaga Katiba ruhusu watu waongee. Wewe ni mama unajisikiaje mtoto wa mwanamke mwenzio anasokomezwa kesi ngumu kuwa na huruma.
Umekengeuka sana dogo.Ni sisi wapinzani wenyewe tutaweza kujitetea, kwa sasa ccm wamepoteza ushawishi kwa umma, hivyo wamejihika na vyombo vya dola ili kuendelea kututawala kwa shuruti. Namna pekee ni sisi wapinzani kugoma kushirikiana na wanaccm.
Hakina kushiriki msiba wala sherehe ama hafla yoyote ya mwanaccm, hakuna kununua chochote kwenye biashara ya mwanaccm ama hata kupakia vyombo vyao vya usafiri labda iwe lazima sana. Tusiogope kuhamashana kwenye hili. Kwa vyovyote mbinu hii itamgusa kila mtanzania. Kwenye nyumba za ibada hakuna kutoa sadaka, na kuwaambia viongozi wa dini wanakalia kimya uovu. Mbinu hii haitatuacha na vilema wala kubambikiwa kesi, kutekwa ama kuuwawa. Mbinu hii ilitumiwa Zanzibar na ilifanya kazi. Madai ya katiba mpya ni ya halali, kwani wezi wa kura wasio na ushawishi waendelee kututesa na kutimiza kwa madai yetu halali. Ni juu yetu wapinzani kujiokoa.
Umekengeuka sana dogo.
Kwani zinakuhusu wew kiaz tulia na mumeo acha kushadadia yasiyokuhusuLialia wa mbowe wiki hii si simu zenu zitaisha wino kuandika nyuzi kila dakika
Mimo bado sitaki kuamini kwamba Rais ana infuence ktk hili. Naamini bado lile genge la wahuni linaendelea na kazi yake ya kishetani walilorithishwaToka nchi hii ipate uhuru kuna kesi kama mbili ama tatu za Uhaini. Lakini toka tumepata kuanza mfumo wa vyama vingi vya kisiasa kumekuwepo na kamatakamata hasa kule ambapo Samia katoka Zanzibar kutokana na mfumo wao wa Siasa za chuki.
Magufuli alikuwa mhuni tu na ukatili wake wa kumalizana kikatili kisiasa kwa Wapinzani wake uongozi wake uliweza kutumia mfumo wa kueliminate Wapinzani mfano hai ni tukio la Lissu. Pamoja na mambo yake kidogo alikuwa na haya ama aibu kwa kuogopa kuonekana mbele ya jamii ya wastaarabu ukatili wake kukaundwa msemo wa watu wasiojulikana.
Huyu mama sijui anatafuta nini ama haelewi kuwa kapachikwa pasi moja mbaya sana kutokana na kusifiwa kuwa anaupiga mwingi sasa kapewa pasi mkasi kwa kumpa Kiongozi wa Chama kikuu cha Upinzania kesi ya Ugaidi. Mama ajue kabisa kajitafutie ubaya na waliokuwa wanampenda.
Hofu yake ni nini kwani angeacha haya makongamano ya kudai katiba mpya angepungukiwa na nini? Kenya wanaupinzani Mkubwa na kufikia hatua ya Mpinzani kujiapisha kuwa Rais wa watu wa Kenya hatukusikia Ugaidi wala Uhaini.
Mama nakutabiria utaongoza hii nchi kwa hofu kubwa sana. Tegua huu mtego ambao wapinzani wako ndani ya CCM hasa akina Mwigulu wanakupigia ngoma unaicheza.
Zipa masikio acha kukanyaga Katiba ruhusu watu waongee. Wewe ni mama unajisikiaje mtoto wa mwanamke mwenzio anasokomezwa kesi ngumu kuwa na huruma.
na kujifanya kuandika vitabu vya confession. Mambo ambayo yako ndani ya uwezo wao wanayafumbia machoWazanzibari sijui wana feligi wapi?? Kama watangulizi wake wengine mama na yeye siku aking’atuka utasikia na yeye analalamikia mfumo kandamizi wa sirilika ambao yeye mwenyewe ndiyo alikuwa anau ongoza
Vipi bado unapigwa mwingi ama maza ndo ivo tena kesha wareset kwenye lialia-pingapinga-nyumbu mode?Kwani zinakuhusu wew kiaz tulia na mumeo acha kushadadia yasiyokuhusu