Polisi "wame-underestimate impact" ya kumtuhumu Mbowe kwa makosa ya ugaidi?

Polisi "wame-underestimate impact" ya kumtuhumu Mbowe kwa makosa ya ugaidi?

Sehemu salama ya Gaidi ni jela, Mbowe yupo sehemu anayostahili, anapiga story na kunguni tu, hakuna mwekezaji serious anayeona Mbowe ni mtu muhimu, hizi story zenu za vijiweni zibaki huko huko kwa nyumbxxx wenzio.
Haya umeshiba tayari nenda ukanye.

Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
 
Mbona wapenzi wa soka wanasongamana kwenye viwanja vya mpira?

Unataka kutuambia kuwa kwenye hatari ya corona ni kwenye makongamano ya Katiba ya chama cha Chadema pekee??
Ndio maana wakasema mikusanyiko ya lazima na isiyo ya lazima! Ya lazima cautions zimeanza kuchukuliwa, ikiwemo na kuvaa barakoa kila mtu na social distancing, isiyo ya lazima kwa sasa (eg makongamano) can wait! Nyinyi si ndiyo mlikuwa mnacomplain serikali ya Magu haichukui hatua dhidi ya corona? Now zimeanza kuchukuliwa mnazipinga tena?
 
Hivi unadhani kwa hili Jeshi la Polisi, la kupewa mamlaka ya "kuwabambikia" watuhumiwa "charges" wanazozitaka wao, lazima ufahamu hiyo ni mojawapo ya sababu kubwa ya ku-press nchi yetu tuwe na Katiba mpya.

Refer huko Afrika Kusini, enzi zile za utawala wa makaburu, walimfunga kifungo cha maisha, shujaa Nelson Mandela, ambaye hatimaye baada ya "pressure" kubwa Sana ya dunia, alikuja achiliwa na hatimaye akawa mwafrika wa kwanza mweusi kuwa Rais wa nchi hiyo ya Afrika Kusini!

Kama kweli hizo tuhuma walizompa Nelson Mandela, zingekuwa za kweli, kamwe asingeweza kuchaguliwa kuwa Rais wa Afrika Kusini na kuwa mtu maarufu kuliko mtu yeyote hapa duniani nyakati zake

Kwa hiyo huu mtindo unaotumiwa na watawala wetu wa CCM wa kuwaonea na kuwakandamiza wapinzani siyo mgeni machoni mwa dunia
Mandela alikuwa gaidi kwa mtizamo wa Kaburu.
Kwani siasa ya kibaguzi iliokuwa inatekelezwa na makaburu ilimfanya Mandela aende nje kujifunza mikakati ya kijeshi ili kupambana na walowezi hao.
Na kweli aliporudi walianza kulipua miundo mbinu kama vituo vya umeme nakadhalika hadi alipokamatwa na kufungwa kifungo cha maisha.
 
Akili ya kipumbavu Sana, kwamba tumuache mtu afanye anavyotaka yy na kutishia hadi viongozi kwa kuogopa eti wawekezaji wataogopa kuja kuwekeza,Tanzania ni nchi huru na Ina Rais anaye iongoza na watu wote tunatakiwa kutii mamlaka ya nchi,
Sasa hutii chochote, unajiamulia tu kwa kudharau kuwa kiongozi ni mwanamke, Tena unamlazimisha kabisa eti ukae nae uongee nae,na unasema waziwazi kuwa utafanya chochote,unaenda mbali zaidi kumwambia uta mnyolea wembe ulio mnyolea mtangulizi wake, na mtangulizi wake Kesha kufa, unategemea mama akuache t?
Point yangu hapo nikwamba tutii mamlaka husika, hakuna aliye juu ya Rais, wala Wazungu hawawezi kutuingilia,
Japo hatujui undani wa tuhuma zinazomkabili Mbowe lakini kuna uwezekano mkubwa Mama ameamua kumtungua kabla hajatua.Mbowe angevuta subira huku akiusoma upepo na labda tungevuna mbivu.Ila kwa sasa Mama kawa mbogo hataki kudharauliwa au kupangiwa afanye lipi na aache lipi She is Command in Chef.
 
Sehemu salama ya Gaidi ni jela, Mbowe yupo sehemu anayostahili, anapiga story na kunguni tu, hakuna mwekezaji serious anayeona Mbowe ni mtu muhimu, hizi story zenu za vijiweni zibaki huko huko kwa nyumbxxx wenzio.
Utoto na upuuzi ndiyo unakusumbua.
 
Ukiacha kelele zinazopigwa kwa nguvu Sana hapa nchini Tanzania za kutakiwa, Freeman Mbowe aachiwe huru, kutokana na makosa yanayoonekana wazi kuwa Jeshi la Polisi nchini limeamua "kubambika" ya ugaidi, lakini vyombo mbalimbali vya dunia navyo vimeungana na wapigania haki wa hapa nchini, kama vile mashirika ya habari ya CNN na Aljazeera na BBC, yamejitokeza na kuipa "headline" hiyo taarifa ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, kupata tuhuma hiyo nzito ya ugaidi.

Madhara ya serikali hii kumbambikia Freeman Mbowe Makosa hayo ya ugaidi ni makubwa Sana kuliko tunavyofikiria.

Lazima ifahamike wazi kuwa wawekezaji ambao walikuwa wanafikiria kuleta mitaji yao hapa nchini, baada ya kuona mabadiliko ya uongozi wa juu, baada ya kufariki Rais Magufuli, watasita kufanya hivyo, kutokana na kuogopa kuleta mitaji yao kwenye nchi ambayo uongozi wa nchi umeutangazia dunia kuwa kiongozi mkuu wa chama cha upinzani cha Chadema, anatuhuma za ugaidi!

Lakini ukiangalia mwenendo wa viongozi wakuu wa nchi hii, wanatumia mwanya wa wanaodai Katiba yetu ya nchi, kuwabambikia viongozi wa upinzani kwa Makosa yasiyokuwa na dhamana ya ugaidi, kwa lengo tu la kuwakomoa, kutokana na kupigania haki za watanzania, ambapo wao viongozi wa serikali hawapendi watanzania waipate haki hiyo!

Kwa hiyo tutarajie wawekezaji kutoka nchi za nje kupungua Sana kuja hapa nchini kutokana na hofu hii, waliyoianzisha wao viongozi wa serikali, kuwa nchi yetu ina magaidi!
Tatizo, anatuma wa shauri wa Magufuli kuendesha nchi.
 
CCM imechanganyikiwa, haijui ifanye lipi. Walitaka kurejesha haki, wajakuta uwezo wa kuwashawishi wa Tz kwa haki hawana mana hawana ushawishi wa kutosha, hivyo wanarudia tens kulekule kwa kutumia majeshi na kubambika kesi ili waendelee kuwa madarakani.
Bila majeshi CCM haina uwezo tena kushika hatamu za uongozi wa watz.
 
Toka nchi hii ipate uhuru kuna kesi kama mbili ama tatu za Uhaini. Lakini toka tumepata kuanza mfumo wa vyama vingi vya kisiasa kumekuwepo na kamatakamata hasa kule ambapo Samia katoka Zanzibar kutokana na mfumo wao wa Siasa za chuki.

Magufuli alikuwa mhuni tu na ukatili wake wa kumalizana kikatili kisiasa kwa Wapinzani wake uongozi wake uliweza kutumia mfumo wa kueliminate Wapinzani mfano hai ni tukio la Lissu. Pamoja na mambo yake kidogo alikuwa na haya ama aibu kwa kuogopa kuonekana mbele ya jamii ya wastaarabu ukatili wake kukaundwa msemo wa watu wasiojulikana.

Huyu mama sijui anatafuta nini ama haelewi kuwa kapachikwa pasi moja mbaya sana kutokana na kusifiwa kuwa anaupiga mwingi sasa kapewa pasi mkasi kwa kumpa Kiongozi wa Chama kikuu cha Upinzania kesi ya Ugaidi. Mama ajue kabisa kajitafutie ubaya na waliokuwa wanampenda.

Hofu yake ni nini kwani angeacha haya makongamano ya kudai katiba mpya angepungukiwa na nini? Kenya wanaupinzani Mkubwa na kufikia hatua ya Mpinzani kujiapisha kuwa Rais wa watu wa Kenya hatukusikia Ugaidi wala Uhaini.

Mama nakutabiria utaongoza hii nchi kwa hofu kubwa sana. Tegua huu mtego ambao wapinzani wako ndani ya CCM hasa akina Mwigulu wanakupigia ngoma unaicheza.

Zipa masikio acha kukanyaga Katiba ruhusu watu waongee. Wewe ni mama unajisikiaje mtoto wa mwanamke mwenzio anasokomezwa kesi ngumu kuwa na huruma.
 
Subiri afike mahakamani haki itapatikana huko msitake Rais aingilie mhimili mingine pamoja na utendaji kazi wa idara zake.

Katoka Mdude

Wametoka Mashehe

Seti yupo nje

Hata Mbowe atatoka kama hakuwa na hatia.

Huo ndio utawala wa sheria.
 
Toka nchi hii ipate uhuru kuna kesi kama mbili ama tatu za Uhaini. Lakini toka tumepata kuanza mfumo wa vyama vingi vya kisiasa kumekuwepo na kamatakamata hasa kule ambapo Samia katoka Zanzibar kutokana na mfumo wao wa Siasa za chuki. Magufuli alikuwa mhuni tu na ukatili wake wa kumalizana kikatili kisiasa kwa Wapinzani wake uongozi wake uliweza kutumia mfumo wa kueliminate Wapinzani mfano hai ni tukio la Lisu. Pamoja na mambo yake kidogo alikuwa na haya ama aibu kwa kuogopa kuonekana mbele ya jamii ya wastaarabu ukatili wake kukaundwa msemo wa watu wasiojulikana. Huyu mama sijui anatafuta nini ama haelewi kuwa kapachikwa pasi moja mbaya sana kutokana na kusifiwa kuwa anaupiga mwingi sasa kapewa pasi mkasi kwa kumpa Kiongozi wa Chama kikuu cha Upinzania kesi ya Ugaidi. Mama ajue kabisa kajitafutie ubaya na waliokuwa wanampenda. Hofu yake ni nini kwani angeacha haya makongamano ya kudai katiba mpya angepungukiwa na nini? Kenya wanaupinzani Mkubwa na kufikia hatua ya Mpinzani kujiapisha kuwa Rais wa watu wa Kenya hatukusikia Ugaidi wala Uhaini. Mama nakutabiria utaongoza hii nchi kwa hofu kubwa sana. Tegua huu mtego ambao wapinzani wako ndani ya CCM hasa akina Mwigulu wanakupigia ngoma unaicheza. Zipa masikio acha kukanyaga Katiba ruhusu watu waongee. Wewe ni mama unajisikiaje mtoto wa mwanamke mwenzio anasokomezwa kesi ngumu kuwa na huruma.
Hivi hatuoni aibu kuiita CHADEMA chama kikuu cha upinzani? Ukuu wake uko wapi wakati kina mbunge mmoja tu? wa Nkasi kaskazini. Nani kawafunga akili nyie mazuzu? Si bora ungeiita ACT-Wazalendo chama kikuu cha upinzani maana kina wabunge wengi kuliko CHADEMA. Bado tu hamuamini chama chenu ni sawa na TLP na NCCR-MAGEUZI kwa tofauti ya kuwa na mbunge moja tu?
 
Toka nchi hii ipate uhuru kuna kesi kama mbili ama tatu za Uhaini. Lakini toka tumepata kuanza mfumo wa vyama vingi vya kisiasa kumekuwepo na kamatakamata hasa kule ambapo Samia katoka Zanzibar kutokana na mfumo wao wa Siasa za chuki.

Magufuli alikuwa mhuni tu na ukatili wake wa kumalizana kikatili kisiasa kwa Wapinzani wake uongozi wake uliweza kutumia mfumo wa kueliminate Wapinzani mfano hai ni tukio la Lissu. Pamoja na mambo yake kidogo alikuwa na haya ama aibu kwa kuogopa kuonekana mbele ya jamii ya wastaarabu ukatili wake kukaundwa msemo wa watu wasiojulikana.

Huyu mama sijui anatafuta nini ama haelewi kuwa kapachikwa pasi moja mbaya sana kutokana na kusifiwa kuwa anaupiga mwingi sasa kapewa pasi mkasi kwa kumpa Kiongozi wa Chama kikuu cha Upinzania kesi ya Ugaidi. Mama ajue kabisa kajitafutie ubaya na waliokuwa wanampenda.

Hofu yake ni nini kwani angeacha haya makongamano ya kudai katiba mpya angepungukiwa na nini? Kenya wanaupinzani Mkubwa na kufikia hatua ya Mpinzani kujiapisha kuwa Rais wa watu wa Kenya hatukusikia Ugaidi wala Uhaini.

Mama nakutabiria utaongoza hii nchi kwa hofu kubwa sana. Tegua huu mtego ambao wapinzani wako ndani ya CCM hasa akina Mwigulu wanakupigia ngoma unaicheza.

Zipa masikio acha kukanyaga Katiba ruhusu watu waongee. Wewe ni mama unajisikiaje mtoto wa mwanamke mwenzio anasokomezwa kesi ngumu kuwa na huruma.
Amewekwa kati na manyang'au, hachomoki huyu. Labda ajivue ufahamu, hiyo ndio itakuwa salama yake.
 
Back
Top Bottom