tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Leo nimekaa zangu nimetulia sitaki kuandika chochote, ghafla nakutana na kipeperushi cha polisi kwenye mitandao ya jamii. Nikadhani labda kina taarifa ya muhimu, kumbe ni upumbavu tu umejaa humo na kuparamia mambo wasiyoyajua na yasiyowahusu.
Nimejiuliza maswali mengi sana kuhusu hiki kipeperushi:
1. Je, polisi walijuaje kwamba wale mashabiki waling'oa viti kwa sababu ya muda kuzidi? Huo uchunguzi mliufanya lini? Nimejiuliza maswali mengi sana kuhusu hiki kipeperushi:
2. Ni lini waliwahoji hao waarabu wakawambia tatizo lao ni muda kuzidi?
3. Je, muda huo ulipozidi wao hawakuwa kiwanjani au walikuwa wamekatwa miguu wasicheze mpira?
4. Je, waarabu wangefunga goli lisingehesabiwa?
Mimi sio mshabiki wa mpira lakini nafikiri hiki kipeperushi hakina matinki yoyote zaidi ya kujipendekeza kutatua jambo ambalo haliwahusu. Inaonekana kabisa kuwa mtu aliyeandika hiki kipeperushi amesukumwa na ushabiki kwani ameenda mbali sana kwenye andiko lake huku akijua fika kwamba anachofanya ni upotoshaji usiokuwa na maana yoyote. Polisi na siasa zao za CCM wanadhani kuwa mpira nao unaendeshwa kisiasa kama wanavyoendeshwa na kutumiwa kama kondomu na CCM.
Sijawahi kusoma kipeperushi cha kijinga kama hiki tangu nizaliwe. Huu ufafanuzi wa muda wa kumaliza mchezo sio kazi ya polisi hata kidogo. Sijui huyu mtu aliyeandika na kusaini hiki kipeperushi alipata wapi ujasiri huu. Hivi siku akiitwa kwenda CAF kutoa ushahidi na hajui kimombo, ataongea lugha gani? Ramadhani Kingai alijiharishia wakati anatoa ushahidi wa uwongo dhidi ya Mbowe. Huyu aliyeandika hii takataka siku akiitwa kwenda CAF kutoa ushahidi bila shaka atazimia na kufa kabisa. Mpuuzi mkubwa!