TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,853
- 4,503
Yule jamaa aliyeonekana wakitoshana na traffic pale mwenye ni Daktari bingwa wa internal medicine,kwenye gari alikuwa ameweka koti jeupi nyuma ya kiti, wanajeshi wakamchukua, hatujui walimpeleka wapi, na jamaaa alikuwa anawahi kazini mloganzila.
Taarifa ni kwamba yupo hospital ICU, sasa ndugu zangu polisi mnatambulika vizuri sana,tutaoneshana huku hospitali,kwanini msimfungulie mashitaka?
Taarifa ni kwamba yupo hospital ICU, sasa ndugu zangu polisi mnatambulika vizuri sana,tutaoneshana huku hospitali,kwanini msimfungulie mashitaka?