Tetesi: Polisi wamempiga daktari mwenzetu mpaka kalazwa ICU

Tetesi: Polisi wamempiga daktari mwenzetu mpaka kalazwa ICU

Kwani ninkukazana upepo?
Mbona iko wazi wataenda kutibiwa
Kutibiwa wataenda hata kesho tu au usiku huu wapo baadhi wanatibiwa, ila Hasira siku zote mwisho wakw mbaya sana ni kama sasa mnaunga mkono kwa kuweka namna ya kudeal na hao polisi vituoni wakat jamaa alipo huko sasa yupo mwenyewe anajuata kwann alifanya vile vinamgharimu!!
 
💯

Hakuna mtu mzima asiye na akili, hata ukidhani hana akili jua anazo, wamemprovoke kwa kiasi ambacho alifika mwisho.
Exactly, ukikasirika sana, mwili unaachia homoni ya adrenaline na cortisol, mwili unakuwa na nguvu isiyo ya kawaida, ni kama mwili unakufa ganzi, mapigo ya moyo huongezeka, blood pressure inapanda, katika hatua hii mtu anajihisi ana nguvu na uwezo wa kuchukua hatua yeyote....

Ndio maana kuna watu wazima unakuta ana kasirika hadi BP inapanda na anaweza kupoteza hata maisha...

Binadamu ni mnyama, hilo wafahamu.. akibadilika hatoangalia umevaa buti wala sare za polisi...
 
Yule jamaa aliyeonekana wakitoshana na traffic palke mwenye ni Daktari bingwa wa internal medicine,kwenye gari alikuwa ameweka koti jeupi nyuma ya kiti,wanajeshi wakamchukua,hatujui walimpeleka wapi,na jamaaa alikuwa anawahi kazini mloganzila.

Taarifa ni kwamba yupo hospital ICU,sasa ndugu zangu polisi mnatambulika vizuri sana,tutaoneshana huku hospitali,kwanini msimfungulie mashitaka?
Ndio Maana kamanda mkilo kawahi kutangaza!
 
Yule jamaa aliyeonekana wakitoshana na traffic palke mwenye ni Daktari bingwa wa internal medicine,kwenye gari alikuwa ameweka koti jeupi nyuma ya kiti,wanajeshi wakamchukua,hatujui walimpeleka wapi,na jamaaa alikuwa anawahi kazini mloganzila.

Taarifa ni kwamba yupo hospital ICU,sasa ndugu zangu polisi mnatambulika vizuri sana,tutaoneshana huku hospitali,kwanini msimfungulie mashitaka?
Hata mkiwaua wote mimi sioni tatizo.
 
Siku zote, jitahidi sana uepukane na mizozo na shari zisizo za lazima.

Yes, umemtandika Trafiki.

Nawe umeishia kupigwa mno na bado kuna kesi inakusubiri. Utapoteza muda, fedha na mambo mengi mno.

Sikufundishi kuwa muoga, ila tafakari popote uepukane na matumizi ya nguvu ya ovyo.

Uanaume si kushikana mashati. Uanaume ni uwezo wa kutumia akili kung'amua athari za maamuzi yako kabla hujatenda na kuamua.

Natoa pole kwa Daktari mwenzetu. Polisi fateni taratibu.
Hakika Mkuu
 
Back
Top Bottom