Tetesi: Polisi wamempiga daktari mwenzetu mpaka kalazwa ICU

Yule jamaa aliyeonekana wakitoshana na traffic palke mwenye ni Daktari bingwa wa internal medicine,kwenye gari alikuwa ameweka koti jeupi nyuma ya kiti,wanajeshi wakamchukua,hatujui walimpeleka wapi,na jamaaa alikuwa anawahi kazini mloganzila.

Taarifa ni kwamba yupo hospital ICU,sasa ndugu zangu polisi mnatambulika vizuri sana,tutaoneshana huku hospitali,kwanini msimfungulie mashitaka?
Polisi akija huko chomeni sindano za sumu wafe tu
 
Exactly, ukikasirika sana, mwili unaachia homoni ya adrenaline na cortisol, mwili unakuwa na nguvu isiyo ya kawaida, ni kama mwili unakufa ganzi, mapigo ya moyo huongezeka, blood pressure inapanda, katika hatua hii mtu anajihisi ana nguvu na uwezo wa kuchukua hatua yeyote....

Ndio maana kuna watu wazima unakuta ana kasirika hadi BP inapanda na anaweza kupoteza hata maisha...

Binadamu ni mnyama, hilo wafahamu.. akibadilika hatoangalia umevaa buti wala sare za polisi...
Sahihi kabisa binadamu akikasirika atadeal na wewe, kwensekwense atakutana nazo baadae huko.

Mi mwenyewe mwanamke lakini mwaka 2024 January nilifokeana na Kamanda wa Trafiki mkoa wa morogoro akaniambia binti ntakulaza ndani hayo unayoyaongea utayaongea kule, ningekuwa na nguvu ningemkwida hiyo siku.

Trafiki wanajua kutujaza upepo sana, nadhani wengi wamejizuia sana hata kuwanasa kibao.
 
ungenivutia waya simu moja tuz huyo kamanda tungemuundia zengwe akalale ndani yeye 😒😒

Hawa watu wanazidi kuwa washenzi sana, na hasa tunapo wachekea na kuona twaogopaa kumbe
 
Sahihi kabisa binadamu akikasirika atadeal na wewe, kwensekwense atakutana nazo baadae huko.

Mi mwenyewe mwanamke lakini mwaka 2024 January nilifokeana na Kamanda wa Trafiki mkoa wa morogoro akaniambia binti ntakulaza ndani hayo unayoyaongea utayaongea kule, ningekuwa na nguvu ningemkwida hiyo siku.

Trafiki wanajua kutujaza upepo sana, nadhani wengi wamejizuia sana hata kuwanasa kibao.
Hapo angekuwa polisi wa kike inawezekana ungeruka naye...
 
Vitu vingine ni vya kujiepusha navyo tu, hivi kweli umkwide police akiwa kwenye sare za kazi utegemee kusalimika?
Sema ni kwetu watu tumekuwa juu ya sheria, kuna nchi wanajeshi wanapigana na raia ila hawatumii mamlaka yao kunyanyasa raia hata...hapo wangeamria jamaa akaeleze kama ni vihela kidogo atoe wamwache aendelee na safari yake.
 
Japo siungi mkono kujichukulia sheria mkononi, ila Wakatk miwngine madakitari au Raia tambua ni kosa kubwa sana kumpiga Askari/Mtumishi akiwa na Uniform au Eneo la kazi

Ngoja wampapase atarudi tu hapo Mloganzila
Acheni ujinga wenu, kipigo anapata kikubwa hakikisha unambua kofia, yaani ukifanikiwa kumtoa kofia chapa. Hiyo uniformu siyo dili na ndivyo ilivyo kwa wana usalama. Hivyo huyo traffic alistahili kichapo
 
Kesho nenda kamvue kofia Umbandue mmoja Mkuu wangu!!
Mara nyingi siyo kwa raia mkuu, watu wa usalama wao wanajuana ndiyo maana huyo aliyempiga lazima ni usalama na kitakachotokea hapo hiyo ni vita MURA huyo askari nakuhakikishia atafukuzwa kazi na Muriro usishangae akaondolewa kwenye hiyo nafasi. Kwa hali ya kawaida hakuna raia mwenye ujasiri wa kumpiga askari ila lazima iwe kwenge mfumo kwa mfumo. Kuna askali mmoja aliwafanyia hivyo watu wa usalama wakamchapa mpaka mguu ukavunjika then polisi kama kawaida yao wakamkamata ndani weka aisee hao askali na huyo aliyevunjika mguu kilichowapata walijuta. Ndiyo maana nakuhakikishia huyu traffic kama mjanja alipaswa kuwahi kuzui asipigwe na hao askari wote walioshiriki kuMpiga wana chamoto toka kwa TISS, na uzuri wa TISS yaani unapata kichapo hata hujui kimetokea wapi.
 
Yule jamaa aliyeonekana wakitoshana na traffic palke mwenye ni Daktari bingwa wa internal medicine,kwenye gari alikuwa ameweka koti jeupi nyuma ya kiti,wanajeshi wakamchukua,hatujui walimpeleka wapi,na jamaaa alikuwa anawahi kazini mloganzila.

Taarifa ni kwamba yupo hospital ICU,sasa ndugu zangu polisi mnatambulika vizuri sana,tutaoneshana huku hospitali,kwanini msimfungulie mashitaka?
Si huwa wanaumwa watakuja tuwatibu naitwa dr inside nipo hapa sekou toure
 
Kweli huyo mchizi lazma atakua nyoka tu maana sio Kwa ule ujasiri ..
 
Yule jamaa aliyeonekana wakitoshana na traffic palke mwenye ni Daktari bingwa wa internal medicine,kwenye gari alikuwa ameweka koti jeupi nyuma ya kiti,wanajeshi wakamchukua,hatujui walimpeleka wapi,na jamaaa alikuwa anawahi kazini mloganzila.

Taarifa ni kwamba yupo hospital ICU,sasa ndugu zangu polisi mnatambulika vizuri sana,tutaoneshana huku hospitali,kwanini msimfungulie mashitaka?
Daktari wa ajabu sana huyu!?,kwa ile akili yake hafai kuwa daktari,madaktari wengi wapo very polites!....
 
Mara nyingi siyo kwa raia mkuu, watu wa usalama wao wanajuana ndiyo maana huyo aliyempiga lazima ni usalama na kitakachotokea hapo hiyo ni vita MURA huyo askari nakuhakikishia atafukuzwa kazi na Muriro usishangae akaondolewa kwenye hiyo nafasi. Kwa hali ya kawaida hakuna raia mwenye ujasiri wa kumpiga askari ila lazima iwe kwenge mfumo kwa mfumo. Kuna askali mmoja aliwafanyia hivyo watu wa usalama wakamchapa mpaka mguu ukavunjika then polisi kama kawaida yao wakamkamata ndani weka aisee hao askali na huyo aliyevunjika mguu kilichowapata walijuta. Ndiyo maana nakuhakikishia huyu traffic kama mjanja alipaswa kuwahi kuzui asipigwe na hao askari wote walioshiriki kuMpiga wana chamoto toka kwa TISS, na uzuri wa TISS yaani unapata kichapo hata hujui kimetokea wapi.
Nikwambie mzee, umeandika meeeengi ila yote hayo ni hisia zako tu sio ukweli wa mambo.
 
Back
Top Bottom