Tetesi: Polisi wamempiga daktari mwenzetu mpaka kalazwa ICU

Elezea kwa kina taarifa yako ni njema sana ndugu,tupe dondoo nasi tutaona jinsi ya kufanya!...
Screenshot_20260909-055936.png
 
Elezea kwa kina taarifa yako ni njema sana ndugu,tupe dondoo nasi tutaona jinsi ya kufanya!...
Kuna dada anaongoza genge la uhalifu na ukwepaji Kodi, ana kesi 7 za jinai, 4 za civil na zingine za Regulatory Authorities, yeye anasema hapa hakuna jinai ni madai tu nenda Mahakamani. Yule inaonekana ana hongwa na kula rushwa.
 
Yule jamaa aliyeonekana wakitoshana na traffic palke mwenye ni Daktari bingwa wa internal medicine,kwenye gari alikuwa ameweka koti jeupi nyuma ya kiti,wanajeshi wakamchukua,hatujui walimpeleka wapi,na jamaaa alikuwa anawahi kazini mloganzila.

Taarifa ni kwamba yupo hospital ICU,sasa ndugu zangu polisi mnatambulika vizuri sana,tutaoneshana huku hospitali,kwanini msimfungulie mashitaka?
Na nyie madaktari akikisheni na polisi kadhaa wanalazwa ICU mnajua cha kufanya haiwezekani jeshi la polisi linaonea kila mtu.
 
Mara nyingi siyo kwa raia mkuu, watu wa usalama wao wanajuana ndiyo maana huyo aliyempiga lazima ni usalama na kitakachotokea hapo hiyo ni vita MURA huyo askari nakuhakikishia atafukuzwa kazi na Muriro usishangae akaondolewa kwenye hiyo nafasi. Kwa hali ya kawaida hakuna raia mwenye ujasiri wa kumpiga askari ila lazima iwe kwenge mfumo kwa mfumo. Kuna askali mmoja aliwafanyia hivyo watu wa usalama wakamchapa mpaka mguu ukavunjika then polisi kama kawaida yao wakamkamata ndani weka aisee hao askali na huyo aliyevunjika mguu kilichowapata walijuta. Ndiyo maana nakuhakikishia huyu traffic kama mjanja alipaswa kuwahi kuzui asipigwe na hao askari wote walioshiriki kuMpiga wana chamoto toka kwa TISS, na uzuri wa TISS yaani unapata kichapo hata hujui kimetokea wapi
Endelea kujifunza, bado hujui vitu...
 
Yule jamaa aliyeonekana wakitoshana na traffic palke mwenye ni Daktari bingwa wa internal medicine,kwenye gari alikuwa ameweka koti jeupi nyuma ya kiti,wanajeshi wakamchukua,hatujui walimpeleka wapi,na jamaaa alikuwa anawahi kazini mloganzila.

Taarifa ni kwamba yupo hospital ICU,sasa ndugu zangu polisi mnatambulika vizuri sana,tutaoneshana huku hospitali,kwanini msimfungulie mashitaka?
Taarifa ni kwamba yupo hospital ICU,sasa ndugu zangu polisi mnatambulika vizuri sana,tutaoneshana huku hospitali,kwanini msimfungulie mashitaka?😭😭😭🙆🏿‍♂
 
Yule jamaa aliyeonekana wakitoshana na traffic palke mwenye ni Daktari bingwa wa internal medicine,kwenye gari alikuwa ameweka koti jeupi nyuma ya kiti,wanajeshi wakamchukua,hatujui walimpeleka wapi,na jamaaa alikuwa anawahi kazini mloganzila.

Taarifa ni kwamba yupo hospital ICU,sasa ndugu zangu polisi mnatambulika vizuri sana,tutaoneshana huku hospitali,kwanini msimfungulie mashitaka?
Waende kwenye dispensari zao.
 
Back
Top Bottom