Tetesi: Polisi wamempiga daktari mwenzetu mpaka kalazwa ICU

Mada inasema polisi wamempiga daktari mpaka kulazwa, inamaana hoja ni daktari kupigwa. Angepelekwa mahakamani tusingejadili suala la kupigwa.
Mada ni tetesi - tunakosa ushahidi wa kutosha kuijadili kama mada. Ndio maana ukifuatilia wachangiaji wengi wamejadiki chimbuko mkuu
Kujadili chimbuko sehemu inayotakiwa kujadili adhabu ndo chicken syndrome yenyewe mkuu. Yaani Ile jinai inayotendeka inatumika kama kichaka cha kuficha jinai ya mtoa adhabu.
Adhabu haiwezi kujitenga na chimbuko.. kama kosa lingekuwa handled prudently tusingekuwa na the aftermath 'ambayo hata hivyo ni tetesi' kwani taarifa ya polisi imesema kapigwa na wananchi. Mtu mmoja anaweza kusema upnde wa Daktari unatafuta huruma ili utoke kwenye hii kadhia.
Another Chicken syndrome. Kwamba mvunja sheria hata angeuwawa kwa silaha ya askari suala lingekuwa kuvunja kwake sheria si kuuwawa.
Hii ni automatic nadhani hat kama ingekuwa marekani kumshambulia askari mwenye silaha kn duty inaweza kutriger shoot to kill reaction. I stand to be guided
Kuku ndo wana hiyo tabia, hata iweje, kwenye akili ya kuku suala sio mchinjaji, suala ni kuku aliyechinjwa.
No kuna namna watu wanadhani daktari hawezi kukosea; kuna watu wameenda mbali kusema ni mpole sana. Tusichotaka kukubali ni kiwa daktari anaweza kubaka, anaweza kuwa na msongo wa mawazo, anaweza ku over react nk . Kwa tukio hili mimi ninadhani alioverract na pengine ni mtu anayedharau sana watu wa kada ya chini..

Kama alikuwa na haraka, utaratibu wa kuomba escort unafahamika.. alichokifany ni kosa, ni ujinga na ni mfano mbaya kwa jamii. Period
 
Mada ni tetesi - tunakosa ushahidi wa kutosha kuijadili kama mada. Ndio maana ukifuatilia wachangiaji wengi wamejadiki chimbuko mkuu

Adhabu haiwezi kujitenga na chimbuko.. kama kosa lingekuwa handled prudently tusingekuwa na the aftermath 'ambayo hata hivyo ni tetesi' kwani taarifa ya polisi imesema kapigwa na wananchi. Mtu mmoja anaweza kusema upnde wa Daktari unatafuta huruma ili utoke kwenye hii kadhia.

Hii ni automatic nadhani hat kama ingekuwa marekani kumshambulia askari mwenye silaha kn duty inaweza kutriger shoot to kill reaction. I stand to be guided

No kuna namna watu wanadhani daktari hawezi kukosea; kuna watu wameenda mbali kusema ni mpole sana. Tusichotaka kukubali ni kiwa daktari anaweza kubaka, anaweza kuwa na msongo wa mawazo, anaweza ku over react nk . Kwa tukio hili mimi ninadhani alioverract na pengine ni mtu anayedharau sana watu wa kada ya chini..

Kama alikuwa na haraka, utaratibu wa kuomba escort unafahamika.. alichokifany ni kosa, ni ujinga na ni mfano mbaya kwa jamii. Period
Upo sahihi kwenye makosa ya daktari, daktari kakosea kumpiga askari mwenye uniform akiwa kazini. Hilo lipo wazi mkuu, jambo ambalo halipo wazi ni matokeo ya jinai aliyoifanya. Je matokeo yapo kwa mujibu wa sheria? Amepigwa na askari au raia? Alipaswa kupigwa? Hiyo ndo mada ya kutengenezea hoja boss, sio jinai aliyoifanya.
 
Wajaze upepo Sasa mwenzao asipokaa .akini watamfir# kabisa
Wewe tulia vita ya polisi na madaktari au watoa huduma za afya haijawahi kuisha salama, kuna mkoa mmoja hii vita iliwahi kutokea polisi walinyosha mikono, huwezi kushindana na mtu anayedeal na uhai wako wakati wewe hujitambui pale hakuna mabavu, Tatizo la mipolisi yetu mingi inashindwa kutumia busara kila kitu yanawaza nguvu tu. kwa akili yako unafikiri madaktari wakiweka bifu unadhani kitatokea nini na kwa bahati mbaya polisi hawana hata standard hospital za kwao ambazo wanaweza kwenda kutibiwa. Hospitali ya maana kwao ni Baracks kilwa road. Bure kabisa
 
Upo sahihi kwenye makosa ya daktari, daktari kakosea kumpiga askari mwenye uniform akiwa kazini. Hilo lipo wazi mkuu, jambo ambalo halipo wazi ni matokeo ya jinai aliyoifanya. Je matokeo yapo kwa mujibu wa sheria? Amepigwa na askari au raia? Alipaswa kupigwa? Hiyo ndo mada ya kutengenezea hoja boss, sio jinai aliyoifanya.
Iko wazi;

Kama kapigwa na wananchi ni jinai, kama kapigwa na polisi ni jinai.

Muhimu kwenye jinai yake ya kwanza - alipaswa kuwa na busara na aoneshe kielelezo cha usomi wake. Lakini hakufanya hivyo na kama kaweza kupiga askari barabarani kwa kutumia logical thinking anaweza kupiga mke nyumbani, anaweza kupiga dada au kaka wa kazi nk. Ndio maana napata shida sana nikiona mtu anatetea jinai yake.
 
Kutibiwa wataenda hata kesho tu au usiku huu wapo baadhi wanatibiwa, ila Hasira siku zote mwisho wakw mbaya sana ni kama sasa mnaunga mkono kwa kuweka namna ya kudeal na hao polisi vituoni wakat jamaa alipo huko sasa yupo mwenyewe anajuata kwann alifanya vile vinamgharimu!!
Siyo kila mtu anajutia maamuzi yake, kwa mashuhuda jamaa alikuwa tayari hata kupigwa risasi afe!! Oyaa situation ilikua mbaya mbaya sana
 
Yule jamaa aliyeonekana wakitoshana na traffic palke mwenye ni Daktari bingwa wa internal medicine,kwenye gari alikuwa ameweka koti jeupi nyuma ya kiti,wanajeshi wakamchukua,hatujui walimpeleka wapi,na jamaaa alikuwa anawahi kazini mloganzila.

Taarifa ni kwamba yupo hospital ICU,sasa ndugu zangu polisi mnatambulika vizuri sana,tutaoneshana huku hospitali,kwanini msimfungulie mashitaka?
simama kwenye nafasi yako,maisha ni kutegemeana
 
Another Chicken syndrome. Kwamba mvunja sheria hata angeuwawa kwa silaha ya askari suala lingekuwa kuvunja kwake sheria si kuuwawa.
Kama jambazi anayetumia silaha ya moto anauwawa, wewe unayetaka kupora silaha ya askari sheria haiwezi kukutetea.
Mada inasema polisi wamempiga daktari mpaka kulazwa, inamaana hoja ni daktari kupigwa. Angepelekwa mahakamani tusingejadili suala la kupigwa.
Hoja ni Dr. aliyempiga Polisi, na yeye kupigwa. Asingempiga polisi, tusingejadili suala la yeye kupigwa
KUjadili chimbuko sehemu inayotakiwa kujadili adhabu ndo chicken syndrome yenyewe mkuu. Yaani Ile jinai inayotendeka inatumika kama kichaka cha kuficha jinai ya mtoa adhabu.
Kama vile kosa la Polisi kuchomoa funguo lilivyokuwa linatumika kuficha kosa la Dr. kumpiga Polisi. Watu wengi walijadili chimbuko (kuchomoa funguo), wakaacha kujadili kosa la Dr (kumpiga Polisi). Kwahiyo, hiyo chicken syndrome ilianza mwanzo, acha iendelee.
 
Kama jambazi anayetumia silaha ya moto anauwawa, wewe unayetaka kupora silaha ya askari sheria haiwezi kukutetea.

Hoja ni Dr. aliyempiga Polisi, na yeye kupigwa. Asingempiga polisi, tusingejadili suala la yeye kupigwa

Kama vile kosa la Polisi kuchomoa funguo lilivyokuwa linatumika kuficha kosa la Dr. kumpiga Polisi. Watu wengi walijadili chimbuko (kuchomoa funguo), wakaacha kujadili kosa la Dr (kumpiga Polisi). Kwahiyo, hiyo chicken syndrome ilianza mwanzo, acha iendelee.
Tumesikia upande wa Polisi, ni vema tukasikia na upande wa raia Daktari. Kati ya hao wote wawili kuna mmoja anaweza kuwa alianza kumpiga mwenzake.
 
Back
Top Bottom