Nakumbuka kuna askari mmoja alikuwa anaonea sana watu. Akamwonea na daktari pia. Daktari akawaeleza madaktari wrnzake pia. Siku moja askari yule kawa anasumbuliwa sana na maumivu ya jino, daktari aliyeonewa hakuwa wa kitengo hicho, askari akaandikiwa ang'oe jino, jamaa wakijua jinsi yule alivyo mwovu, wakang'oa jino lililokuwa zima, wakaliacha lililokuwa na tatizo. Jamaa akaendelea na mateso, lakini akaogopa kwenda tena hospitali, akaishia kwawaganga wa kienyeji wanaong'oa meno.
Polisi wanatakiwa kujua kuwa pamoja na kupewa bundumi, bado wao ni wanadamu, wanapotimiza wajibu wao, watangulize utu, na siyo kwa hali iliyopo sasa, ambapo polisiwengi, ni aheri ya majambazi.