Come27
JF-Expert Member
- Dec 1, 2012
- 7,775
- 7,497
Wakae vip? Hachaa maharagwe yaive weweRais wa MAT na IGP wakutane asee wayajenge nyuma ya pazia polisi watakuwa victim wakubwa kama hili bifu litaenda next stage
Sifurahii kwa lolote lakini hizi pande mbili zikae mezani wamalize tofauti zao