MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Full kuwamaliza,hii kampeni iendelee Hadi waishe.Hata Muhimbili, haile selassie, Hindu mandal
Full kuwamaliza,hii kampeni iendelee Hadi waishe.Hata Muhimbili, haile selassie, Hindu mandal
Vitu vingine ni vya kujiepusha navyo tu, hivi kweli umkwide police akiwa kwenye sare za kazi utegemee kusalimika?
Hakuna kupoteza muda tumia utaalamu wako,we ndo daktari mwenyewe kila mtu amwogope mwenzieYule jamaa aliyeonekana wakitoshana na traffic palke mwenye ni Daktari bingwa wa internal medicine,kwenye gari alikuwa ameweka koti jeupi nyuma ya kiti,wanajeshi wakamchukua,hatujui walimpeleka wapi,na jamaaa alikuwa anawahi kazini mloganzila.
Taarifa ni kwamba yupo hospital ICU,sasa ndugu zangu polisi mnatambulika vizuri sana,tutaoneshana huku hospitali,kwanini msimfungulie mashitaka?
Unaona ushanitukana mie sasa Mkuu? Deal na hoja ndio maturity.Pumbaavu kabisa wewee, km jinai apelekwe mahakamani, na sio kupigwa.
Napata shida sana watu wanaomuunga mkono bwana daktari. Huyu jamaa kesho watsikia kapiga mkewe halafu hao hao watakuja hapa kumtetea mwanamke. Huyu daktari ni mshamba tu - hakuwa na justification yeyote ya kumpiga polisi.Huyo mbwa anatakiwa afie mbali huko hana faida mpuuzi huyo, eti daktari? Bila hatq haya?
Ukisikia Mbwa kala mbwa sasa ndio hii!! Polisi amepiga Dr. Halafu na wao wanaenda huko kutibiwa.... Halafu Polisi acheni uongo hivi nyie mnavyochukiwa hivi kuna mtu anaweza kupigwa na wananchi kisa anapiga polisi?? kwenye taarifa yenu mmesema Dr alipigwa na wananchi huu ni uongo!!! ingawa siungi mkono kupigana kule ila polisi mmesema uongo.....Yule jamaa aliyeonekana wakitoshana na traffic palke mwenye ni Daktari bingwa wa internal medicine,kwenye gari alikuwa ameweka koti jeupi nyuma ya kiti,wanajeshi wakamchukua,hatujui walimpeleka wapi,na jamaaa alikuwa anawahi kazini mloganzila.
Taarifa ni kwamba yupo hospital ICU,sasa ndugu zangu polisi mnatambulika vizuri sana,tutaoneshana huku hospitali,kwanini msimfungulie mashitaka?
Lo nchi hii intaingia internal strife.Yule jamaa aliyeonekana wakitoshana na traffic pale mwenye ni Daktari bingwa wa internal medicine,kwenye gari alikuwa ameweka koti jeupi nyuma ya kiti, wanajeshi wakamchukua, hatujui walimpeleka wapi, na jamaaa alikuwa anawahi kazini mloganzila.
Taarifa ni kwamba yupo hospital ICU, sasa ndugu zangu polisi mnatambulika vizuri sana,tutaoneshana huku hospitali,kwanini msimfungulie mashitaka?
Tusipowapenda wanakatwa mishahara yao? 😂Nawaona polisi wa jf wanavyoshupaa😁🙌
Mmekanyaga ni u lenye moto,,
Hakika hampendwi📌
ASKARI MDEBWEDO KAKUNJWA KAWEKWA CHINI KAPIGWA NA KAJAMAA 1-1Japo siungi mkono kujichukulia sheria mkononi, ila Wakatk miwngine madakitari au Raia tambua ni kosa kubwa sana kumpiga Askari/Mtumishi akiwa na Uniform au Eneo la kazi
Ngoja wampapase atarudi tu hapo Mloganzila
Kwa kweli hata mimi hilo la kumkwida hivyo askari limenishangaza sana. Najiuliza huyo daktari nae alikua under imfluence hadi akafanya hivyo na je alitegemea nini?? Ni sawa polisi wa bongo wana mapungufu yao, lakini kwa kile alichofanyiwa yule askari akiwa na nguo za kazi, kitendo kile sehemu yoyote duniani polisi watafanya aliofanyiwa huyo daktari ya kumpeleka ICU. Tena bora hilo, polisi wa USA huyo daktari saa hizi tungekua tunazungumza "innallillah wainnaillah rajiun", achana kabisa kupigana na hao watu wakiwa na nguo za kazini, ni kama umetangaza vita. Pole zake daktari, ameyakanyaga mwenyewe,.Vitu vingine ni vya kujiepusha navyo tu, hivi kweli umkwide police akiwa kwenye sare za kazi utegemee kusalimika?
Kwa mishahara ipi???Tusipowapenda wanakatwa mishahara yao? 😂
Kuchomoa funguo kungoa plate numba ilisha katazwa!Hilo li traffic lilichomoa funguo ya gari. Huo ndio utaratibuu?
Kuna jamaa alikuwa jeuri sana siku akapata ajali alishonwa bila ganzi walimwambia kabisa kuwa hakuna ganzi na atashonwa kavu kavu na hawakufanya ajizi njemba ilishusha haja zote zilizopo hapa duniani alipopona akaomba na uhamisho maana alikuwa anataniwa kwamba aliacha uharo debe 2Utaratibumpolisi hawafati na walitaka kumuua daktari mwenzako na huenda akafia ICU
Wewe daktari unalipizaje?
Kumbuka Kisasi ni haq
Tena kwa kificho badala wangejipanga palepale mmoja mmoja wapimane nguvu.wapumbavu kulikuwa na haja gani ya kumpiga hivyo ili hali kwenye 1-1 wameonekana hawana uwezo kabisa