Tetesi: Polisi wamempiga daktari mwenzetu mpaka kalazwa ICU

Tetesi: Polisi wamempiga daktari mwenzetu mpaka kalazwa ICU

Iko wazi;

Kama kapigwa na wananchi ni jinai, kama kapigwa na polisi ni jinai.

Muhimu kwenye jinai yake ya kwanza - alipaswa kuwa na busara na aoneshe kielelezo cha usomi wake. Lakini hakufanya hivyo na kama kaweza kupiga askari barabarani kwa kutumia logical thinking anaweza kupiga mke nyumbani, anaweza kupiga dada au kaka wa kazi nk. Ndio maana napata shida sana nikiona mtu anatetea jinai yake.

Pumbaavu kabisa wewee, km jinai apelekwe mahakamani, na sio kupigwa.
 
Nakumbuka kuna askari mmoja alikuwa anaonea sana watu. Akamwonea na daktari pia. Daktari akawaeleza madaktari wrnzake pia. Siku moja askari yule kawa anasumbuliwa sana na maumivu ya jino, daktari aliyeonewa hakuwa wa kitengo hicho, askari akaandikiwa ang'oe jino, jamaa wakijua jinsi yule alivyo mwovu, wakang'oa jino lililokuwa zima, wakaliacha lililokuwa na tatizo. Jamaa akaendelea na mateso, lakini akaogopa kwenda tena hospitali, akaishia kwawaganga wa kienyeji wanaong'oa meno.

Polisi wanatakiwa kujua kuwa pamoja na kupewa bundumi, bado wao ni wanadamu, wanapotimiza wajibu wao, watangulize utu, na siyo kwa hali iliyopo sasa, ambapo polisiwengi, ni aheri ya majambazi.

Wangelichoma sindano ya sumu ya kufa pole pole lingeenda kufia kwake kwa baadae sana.
 
Ni kawaida yao kukwapua na leseni,,,Hawa kunguru siwakubali hata,,,Kuna siku tupo mikumi alimlazimisha dereva ampa leseni,si alimtwanga ngumi,,,,nilifrahi.
Acha uwongo wa kitoto, hakuna mtu wa kumpiga askari ukaachwa wadanganye wehu wenzio! Askari kuchukua leseni ni sawa kabisa msitake kushindana na jeshi nyie wapumbavu mtaumia
 
Acha uwongo wa kitoto, hakuna mtu wa kumpiga askari ukaachwa wadanganye wehu wenzio! Askari kuchukua leseni ni sawa kabisa msitake kushindana na jeshi nyie wapumbavu mtaumia
Ulikuwepo??

Alimpiga mangumi,na akapelekwa pale kituoni,,,,,akambiwa atoe laki mbili.

Ngumi alipigiwa zenye unazo,,watu washajichokea kwasasa.
 
Jeshi letu la polisi libadilike liache mazoea na raia, na iache kuendeshwa na wanasiasa wajifunze kwa polisi km wa Marekani au Uingereza, mi nimeishi maeneo yale wale polisi kwanza wako fiti, wanajiamini halafu full equiped! Hawacheki na kima hawana mazoea hawaingiliwi hovyo na matamko ya wanasiasa. Wanajeshi wawe physically fit wenye vitambia wastaafishwe hawana maana yyte! Polisi wawe zaidi ya moja na moja wao awe na silaha, mabomu ya kurusha na silaha zingine saidizi, vijana wa sahv ni kizazi cha nyoka wanataka kushinda kupimana nguvu na kila mtu mpaka mamlaka ya dola. Hawa dawa yao ni nguvu mpaka wanyooke
 
Majamaa Yana dharau sana, unakuta anachukua funguo ya gari halafu Hana time nawewe Wala kujali muda wako, akifa huyo daktari,wenzie Wanaweza kulipa kisasi kwenye kuwatibia na wao.
Kabisa kuna askari hawana busara imewahi kunitokea askari wa barabarani alichomoa ufunguo wa gari langu halafu nikamfwata kumsemesha akawa hanijibu akanikalisha masaa ikabidi nijiongeze ndo nikachomoka pale . Usipoweza kujizuia hasira ndio yanatokea kama hayo
 
Back
Top Bottom