Tetesi: Polisi wamempiga daktari mwenzetu mpaka kalazwa ICU

Tetesi: Polisi wamempiga daktari mwenzetu mpaka kalazwa ICU

Yule jamaa aliyeonekana wakitoshana na traffic pale mwenye ni Daktari bingwa wa internal medicine,kwenye gari alikuwa ameweka koti jeupi nyuma ya kiti, wanajeshi wakamchukua, hatujui walimpeleka wapi, na jamaaa alikuwa anawahi kazini mloganzila.

Taarifa ni kwamba yupo hospital ICU, sasa ndugu zangu polisi mnatambulika vizuri sana,tutaoneshana huku hospitali,kwanini msimfungulie mashitaka?
Duh! Na hospitalini ni hakukwepeki. Hapo ni kuwashindilia sindano la ng'ombe tu matakoni.
 
Yule jamaa aliyeonekana wakitoshana na traffic pale mwenye ni Daktari bingwa wa internal medicine,kwenye gari alikuwa ameweka koti jeupi nyuma ya kiti, wanajeshi wakamchukua, hatujui walimpeleka wapi, na jamaaa alikuwa anawahi kazini mloganzila.

Taarifa ni kwamba yupo hospital ICU, sasa ndugu zangu polisi mnatambulika vizuri sana,tutaoneshana huku hospitali,kwanini msimfungulie mashitaka?
MWANA KULITAFUTA, MWANA KULIPATA.
Iwe fundisho kwa wengine wasiotaka kufuata sheria.
 
Lakini kwa hali ilivyo sasa raia wengi bado wanaamini polisi ni adui zao namba moja.
Hizi kauli za mujumuisho zimeumiza wengi sana. Katika kitu ambacho hutakiwi kukifanya na inabidi uombe sana hata kama una hasira ujiepushie mbali ni kumpiga mtu ambae yupo anatimiza majukumu yake. Hata kwa watumishi wa umma kupigana sehemu ya kazi au kumpiga mtu sehemu ya kazi yake ni moja ya makosa ambayo yanakufukuzisha kazi kwa haraka sana.

Ni kweli kuna muda askari wanakera ila tujizuie sana kufika hatua ya kuwapiga. Ukiwa sehemu ya mtu ya kazi wewe unakuwa raia wa kawaida hata kama ni mtumishi. Kwa hiyo mnaoleta bifu za madaktari na askari mnakosea. Hapo ni raia kampiga au kapigana na askari. Udaktari utakuja baadae sana atakapoulizwa kazi anayofanya lakini alipokuwa anapigana au anampiga askari alikuwa raia.

Tumpe pole pia huyo jamaa suala lake liwe jepesi, maana hiyo kesi ni ngumu sana kwake. Tumuombee apate msamaha na tusitake kuleta sijui bifu la askari na madaktari, hiyo itamuumiza sana huyo jamaa.
 
Japo siungi mkono kujichukulia sheria mkononi, ila Wakatk miwngine madakitari au Raia tambua ni kosa kubwa sana kumpiga Askari/Mtumishi akiwa na Uniform au Eneo la kazi

Ngoja wampapase atarudi tu hapo Mloganzila
Kwa hiyo nyie magwanda ndio yanawap haki ya kupiga raia sio!?
Mtagongwa sana safari hii.
 
Yule jamaa aliyeonekana wakitoshana na traffic pale mwenye ni Daktari bingwa wa internal medicine,kwenye gari alikuwa ameweka koti jeupi nyuma ya kiti, wanajeshi wakamchukua, hatujui walimpeleka wapi, na jamaaa alikuwa anawahi kazini mloganzila.

Taarifa ni kwamba yupo hospital ICU, sasa ndugu zangu polisi mnatambulika vizuri sana,tutaoneshana huku hospitali,kwanini msimfungulie mashitaka?
Hawa mapolisi dawa yao ni kiwachoma sindano za sumu pamoja na familia zao wakafie mbele. Haiwezekani wawaue mamilioni ya watu MO29 na bado waendelee kuwaua raia mtaani. Lazima kieleweke safari hii. Kama mbwai iwe mbwai!
 
Kabisa kuna askari hawana busara imewahi kunitokea askari wa barabarani alichomoa ufunguo wa gari langu halafu nikamfwata kumsemesha akawa hanijibu akanikalisha masaa ikabidi nijiongeze ndo nikachomoka pale . Usipoweza kujizuia hasira ndio yanatokea kama hayo
Wanadharau sana! Ukiwa na bastola unapata kesi
 
Alafu wamekuja kutangaza kapigwa na wananchi🥹🥹ila mapolisi
Inasemekana kapigwa na wanajeshi kutoka kambi ya Lugalo. Halafu leo nimesikia Zembwela wa Wasafi FM akimlaani yule daktari. Yaani jitu huni from no where linatoa lawama bila kufanya uchunguzi.
 
Yule jamaa aliyeonekana wakitoshana na traffic pale mwenye ni Daktari bingwa wa internal medicine,kwenye gari alikuwa ameweka koti jeupi nyuma ya kiti, wanajeshi wakamchukua, hatujui walimpeleka wapi, na jamaaa alikuwa anawahi kazini mloganzila.

Taarifa ni kwamba yupo hospital ICU, sasa ndugu zangu polisi mnatambulika vizuri sana,tutaoneshana huku hospitali,kwanini msimfungulie mashitaka?
Ndio maaatangu jana polisi wakieenda hosptl hawajitambulishi kama mwanzo😄
 
Siku zote, jitahidi sana uepukane na mizozo na shari zisizo za lazima.

Yes, umemtandika Trafiki.

Nawe umeishia kupigwa mno na bado kuna kesi inakusubiri. Utapoteza muda, fedha na mambo mengi mno.

Sikufundishi kuwa muoga, ila tafakari popote uepukane na matumizi ya nguvu ya ovyo.

Uanaume si kushikana mashati. Uanaume ni uwezo wa kutumia akili kung'amua athari za maamuzi yako kabla hujatenda na kuamua.

Natoa pole kwa Daktari mwenzetu. Polisi fateni taratibu.
Umetoa nasaha za Hekima kubwa. Kongole broo.
 
Yule jamaa aliyeonekana wakitoshana na traffic pale mwenye ni Daktari bingwa wa internal medicine,kwenye gari alikuwa ameweka koti jeupi nyuma ya kiti, wanajeshi wakamchukua, hatujui walimpeleka wapi, na jamaaa alikuwa anawahi kazini mloganzila.

Taarifa ni kwamba yupo hospital ICU, sasa ndugu zangu polisi mnatambulika vizuri sana,tutaoneshana huku hospitali,kwanini msimfungulie mashitaka?
Tena hata wakimfungulia mashitaka, akipata wakili mzuri, anashinda kesi, asubuhi tuu kwa defense ya acting under provocation, he was provoked!, traffic police hawezi kusimamisha gari ya mtu na kuchomoa funguo, that was trespass!, kuchukua kitu cha mtu bila ridhaa yake ni unyang'anyi!.

Japo dactari huyo atakuwa amepigwa, ameteswa na kusulubiwa, kwa kupigwa kwake sisi tumeponywa, traffic police watazuiwa kufanya ushenzi huo!, hawatarudia tena!,na askari wote waliomshambulia na kumsingizia amepigwa na watu wenye hasira huku picha mjongeo zikimuonyesha akiwa mzima mikononi mwa polisi, then karma will take its course in no time.
P
 
Kuna jamaa alikuwa jeuri sana siku akapata ajali alishonwa bila ganzi walimwambia kabisa kuwa hakuna ganzi na atashonwa kavu kavu na hawakufanya ajizi njemba ilishusha haja zote zilizopo hapa duniani alipopona akaomba na uhamisho maana alikuwa anataniwa kwamba aliacha uharo debe 2
CHAI
 
Back
Top Bottom