Tetesi: Polisi wamempiga daktari mwenzetu mpaka kalazwa ICU

Tetesi: Polisi wamempiga daktari mwenzetu mpaka kalazwa ICU

Yule jamaa aliyeonekana wakitoshana na traffic palke mwenye ni Daktari bingwa wa internal medicine,kwenye gari alikuwa ameweka koti jeupi nyuma ya kiti,wanajeshi wakamchukua,hatujui walimpeleka wapi,na jamaaa alikuwa anawahi kazini mloganzila.

Taarifa ni kwamba yupo hospital ICU,sasa ndugu zangu polisi mnatambulika vizuri sana,tutaoneshana huku hospitali,kwanini msimfungulie mashitaka?
Mkome kujipendekeza nao hospitali. Nyie mnauwezo wa kusimamisha nchi sema hamna akili.
 
Mada ni tetesi - tunakosa ushahidi wa kutosha kuijadili kama mada. Ndio maana ukifuatilia wachangiaji wengi wamejadiki chimbuko mkuu

Adhabu haiwezi kujitenga na chimbuko.. kama kosa lingekuwa handled prudently tusingekuwa na the aftermath 'ambayo hata hivyo ni tetesi' kwani taarifa ya polisi imesema kapigwa na wananchi. Mtu mmoja anaweza kusema upnde wa Daktari unatafuta huruma ili utoke kwenye hii kadhia.

Hii ni automatic nadhani hat kama ingekuwa marekani kumshambulia askari mwenye silaha kn duty inaweza kutriger shoot to kill reaction. I stand to be guided

No kuna namna watu wanadhani daktari hawezi kukosea; kuna watu wameenda mbali kusema ni mpole sana. Tusichotaka kukubali ni kiwa daktari anaweza kubaka, anaweza kuwa na msongo wa mawazo, anaweza ku over react nk . Kwa tukio hili mimi ninadhani alioverract na pengine ni mtu anayedharau sana watu wa kada ya chini..

Kama alikuwa na haraka, utaratibu wa kuomba escort unafahamika.. alichokifany ni kosa, ni ujinga na ni mfano mbaya kwa jamii. Period
Dr kakosea. Lakini walishamdhibiti kulikuwa na sababu gani kumpeleka wanakokujua wao na kumpiga halafu wanasingiziq raia?
 
Sasa ni zamu ya watumishi wa Wizara ya Mambo ya ndani kuandikiwa dawa za uongo pamoja na familia zao
Duh? Hiii vita ishakuwa ya Kisasi ni Haki. Maana sasa kama familia ya Mapolisi ikafika hospital ikachomwa sindano yenye maambukizi ya Kansa, Liver Hepatitis au HIV watatoboa kweli ndugu zetu maafande. Duh? Naona kama wamemkanyaga nyoka mkia
 
Na nyie madaktari akikisheni na polisi kadhaa wanalazwa ICU mnajua cha kufanya haiwezekani jeshi la polisi linaonea kila mtu.
Duh? Kisasi ni Haki. Vita ya Sindano na Bunduki
Apo ni hatari sana. Wakati
Askari = Bunduki yenye Silaha
Daktari = Sindano yenye ugonjwa wa kila aina kansa, HIV, Hepatitis na magonjwa chungu nzima
 
Back
Top Bottom