Tetesi: Polisi wamempiga daktari mwenzetu mpaka kalazwa ICU

Tetesi: Polisi wamempiga daktari mwenzetu mpaka kalazwa ICU

Mara nyingi siyo kwa raia mkuu, watu wa usalama wao wanajuana ndiyo maana huyo aliyempiga lazima ni usalama na kitakachotokea hapo hiyo ni vita MURA huyo askari nakuhakikishia atafukuzwa kazi na Muriro usishangae akaondolewa kwenye hiyo nafasi. Kwa hali ya kawaida hakuna raia mwenye ujasiri wa kumpiga askari ila lazima iwe kwenge mfumo kwa mfumo. Kuna askali mmoja aliwafanyia hivyo watu wa usalama wakamchapa mpaka mguu ukavunjika then polisi kama kawaida yao wakamkamata ndani weka aisee hao askali na huyo aliyevunjika mguu kilichowapata walijuta. Ndiyo maana nakuhakikishia huyu traffic kama mjanja alipaswa kuwahi kuzui asipigwe na hao askari wote walioshiriki kuMpiga wana chamoto toka kwa TISS, na uzuri wa TISS yaani unapata kichapo hata hujui kimetokea wapi.
aisee ukapimwe mkojo
yaani unakaa chini kabisa na kujipinda kuandika upupu kama huu, halafu humu kulivyojaa walugaluga wa vijijini wanakuamini kabisa
Basi huu mtandao wa wehu
 
Kuna jamaa alikuwa jeuri sana siku akapata ajali alishonwa bila ganzi walimwambia kabisa kuwa hakuna ganzi na atashonwa kavu kavu na hawakufanya ajizi njemba ilishusha haja zote zilizopo hapa duniani alipopona akaomba na uhamisho maana alikuwa anataniwa kwamba aliacha uharo debe 2
hii stori sasa sio hata ya vijiwe vya kahawa, hii stori ni ya vilabu vya pombe chafu huko vijijini
 
Yule jamaa aliyeonekana wakitoshana na traffic pale mwenye ni Daktari bingwa wa internal medicine,kwenye gari alikuwa ameweka koti jeupi nyuma ya kiti, wanajeshi wakamchukua, hatujui walimpeleka wapi, na jamaaa alikuwa anawahi kazini mloganzila.

Taarifa ni kwamba yupo hospital ICU, sasa ndugu zangu polisi mnatambulika vizuri sana,tutaoneshana huku hospitali,kwanini msimfungulie mashitaka?
uvunjaji na kutoheshimu sheria kukianza juu ndiyo inakuwa hivi. Tanzania ishapata dosari. Kama hatutasimama kujitoa muhanga kuondoa uchafu huu, mustakbali wa watoto wetu umo hatarini. Natoka kutazama feature ya Rwanda hapa, utaona Raha mwenyewe: wageni wanamiminika na hata Wazungu wameamua kuwa raia na kufungua viwanda, mashamba makubwa....wote wanahadithia kilichowavutia ni nidhamu, sheria na mambo kuwa rahisi. Rwanda imetupita ingawaje sisi ni matajiri mara 100 kuliko wao! Hiyo inakuonesha tatizo letu ni uongozi: viongozi wajinga wasijua uongozi, walafi, wasio na nidhamu, majahili....aaaakh nina hasira juu ya nchi yangu.
 
Yule anakodoa macho kama Saa100, tusiooteze muda,kumjadili!
Kesho kutwa, utamkuta uraiani utamuonea huru!
Kukodoa macho ule ni mkwara na kupiga watu mkwara ni sehemu ya tactics za ulinzi. Amefundishwa hivyo chuoni na wakubwa zake. SIPENDI askari wa hovyo ila askari wema ni lazima tuwatetee.
 
ila si wamesoma?? Wana elimu ya kijeshi kama ambavyo Lissu ana elimu ya kisheria. Si ndio mkuu??
Inaangaliwa elimu aliyotumia kujiunga na hiyo kazi. Kiwango chake cha ufaulu wakati anaomba hiyo kazi. Waziri wao enzi za JPM, Simbachawene alisema huwezi kuajiri msomi kuwa polisi, hatakubali kubeba bunduki, kwa hiyo wanaajiri form four failures kwa kuwa ndio watu wanaoweza kutekeleza majukumu ya kipolisi bila kulalamika wala kuhoji hoji
 
Jeshi kuna askari na ofisa/afisa. Elimu Ndogo ni askari. Elimu kubwa ni officer. University graduates wengi sana wapo Polisi na mmoja ni classmate wangu. ICT specialists pale headquarters Dodoma ni form four failures??

Kuna watu waliingia police wakiwa na elimu ya ufaulu mdogo ila walijiendeleza na sasa ni officers wakubwa tu.

Sio Police pekee hata Ualimu pia.
 
Mkuu, unapoongelea timu ya soka ya TRA ujue unaongelea wachezaji wa mpira, huwazungumzii makamishna wa kodi, huwazungumzii wanasheria wa mamlaka nk, kwa hiyo hata polisi hatuzungumzii staff ambao wanalazimishwa kuwa mapolisi kwa taaluma, eg daktari, mhasibu nk, sisi tunaongelea wale wanaosimamia utekelezaji wa sheria, ndio hao wanaosimama barabarani, ndio hao wanaokamata wahalifu nk, sasa elimu yao ndio hiyo aliyoisema waziri wao
 
ila si wamesoma?? Wana elimu ya kijeshi kama ambavyo Lissu ana elimu ya kisheria. Si ndio mkuu??
Kuna tofauti kati ya kuungaunga elimu upate cheo na kuelimika.Oct29 ilionyesha jinsi Wambura alivyo kilaza,baada ya kushindwa kuthibiti warusha mawe na kuwakamata,yeye akatangaza vita,vilaza wake wakatii amri ya kilaza wao mkubwa na kwenda kuwauwa watu hovyohovyo.Kwa hiyo elimu ya kijeshi inasema piga risasi mtu asiyekuwa na bunduki?
 
Back
Top Bottom