Polisi wamenitrack niliokota simu, kesho natakiwa kituoni

Huyo mamako alikudanganya. Alienda kudanga akahongwa hiyo simu na mwizi au jambazi, muulize vizuri.

Babako unamjuwa? Mnaishi nae?
Una mental illness inakupelekesha. Comment hii inaongea mengi kukuhusu.
 
Kwahiyo police ndio amekwambia hiyo simu imepotea na tv???
 
Kama ni Mimi nalitupia mikoa ya mbali kuwachanganya akili na ninahama nilipo kuwa naishi ,,msala huo.
 
Waambie cha kuokota sii cha kuiba
 
Kisheria wewe ni mwinzi,,
 
Attention seeker soon you will be arrested dey to ur imagination
 
Mkuu hio kesi unayo lazima utoboke.., tena hapo sana sana wanataka rushwa wanaweza kukutisha hata aliyeibiwa alichomwa kisu...; kwani gharama ya hio TV na vingine wanavyosema wameibiwa ni bei gani ?

In short ushaingia kwenye kumi na nane za watu..., huwezi kusema umeokota kitu cha thamani kama hicho wakiruhusu haya mambo kesho watu wataanza kusema wanaokota magari...
 
Yan hapa duniani
Yaani hapa duniani Pa moto sana..
 
Ndugu unaenda kuokota Virungu Online.
Usiibe kiboya town.
 
Wewe ndiye kibaka mwenyewe, umeitwa Polisi, bado haujaenda lakini tayari unajua vitu vyote vilivyoibiwa kwa huyo 'aliyepoteza' hiyo simu?

Kama mimi ningekuwa wakili ningejitokeza kukusaidia, halafu tukifika huko nafanya kama huyu wakili wa wale wabakaji👇👇

Your browser is not able to display this video.
 
Duu apo umeyakanyaga saivi mambo ya kuokota simu achaneni nayo...apo Jiandae kutoa tu hela nyingi
 
🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…