Chipukizi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 4,409
- 6,773
Ukiokota kitu unatakiwa ukipeleke police! Hapo auna ushaidi kama uliokota au uliuziwa🤣. So unaesabika kama mwizi. Pole sanaMsaada wa kisheria simu ya kuokota nakamatwa na polisi. Mama yangu aliokota simu smat phone akanipa sababu yeye Hawezi tumia nikaweka laini hapa nimepagawa,
Hii imekaaje mbaya zaidi aliepoteza simu anadai kwao ilibiwa simu, TV nch 32, jiko la ges plate mbili.
Je, machomokaje katika hili tatizo?
Mkiona kimya mjue nawasiliana na polisi maana wanasumbua balaa