Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,230
- 10,650
Msaada wa kisheria simu ya kuokota nakamatwa na polisi. Mama yangu aliokota simu smat phone akanipa sababu yeye Hawezi tumia nikaweka laini hapa nimepagawa,
Hii imekaaje mbaya zaidi aliepoteza simu anadai kwao ilibiwa simu, TV nch 32, jiko la ges plate mbili.
Je, machomokaje katika hili tatizo?
Mkiona kimya mjue nawasiliana na polisi maana wanasumbua balaa
Isalumimishe police kituo kingine back date tarehe!Cha kuokota si Cha kuiba huna kesi ingawa utasumbuliwa.
Kuna jamaa ilikuwa kigogo aliokota tv flat ya nchi 32 na sabufa 🐼Wewe ndio mtu wa kwanza nimesikia ameokota simu.
Utakuta Sheria inasema ilitakiwa ukaripoti kituo Cha polisi kama umeokata kitu n c chako🤣Msaada wa kisheria simu ya kuokota nakamatwa na polisi. Mama yangu aliokota simu smat phone akanipa sababu yeye Hawezi tumia nikaweka laini hapa nimepagawa,
Hii imekaaje mbaya zaidi aliepoteza simu anadai kwao ilibiwa simu, TV nch 32, jiko la ges plate mbili.
Je, machomokaje katika hili tatizo?
Mkiona kimya mjue nawasiliana na polisi maana wanasumbua balaa
Aliyekwenda kudanga akampa simu, mamake, wa hovyo niwe mimi?Kuna mishangazi ya ovyo ndio wewe
Hakuna cha sio fair wala nini, hilo jamaa ni zombi kabisa, unatumia simu ya wizi? Simu iliyookotwa?Ila sio fea sheria ilibidi zitungwe upya sisi hatujui utaratibu ni uonevu huu
Mkuu sijaiba TV nalipaje?Ili mambo ya we rahis kwako, kubali kurudisha simu na kulipa vitu hivyo vingine
Wakati sihusiki na upotevurudisha mali ulizoiba
Kawaida tu mbona?Hivi simu ni kitu cha kuokota kweli?? 😅watu mna hatariiii
HAta kumstahi mama mtu mwanamke mwenzio hakunaAliyekwenda kudanga akampa simu, mamake, wa hovyo niwe mimi?
Hakika wewe ni kondoo.
Abadili laini wakati zimesajiliwa kwa kutumia kitambulisho?Na abadili line kabisa ikiwezekana manake lazima tu kesi imdondokee yeye
Labda niwape yangu wakikomaa sanaJiandae kwenda kuwaonesha ulipoweka hiyo TV na jiko la gesi