Polisi wamenitrack niliokota simu, kesho natakiwa kituoni

Polisi wamenitrack niliokota simu, kesho natakiwa kituoni

Kichwa cha habari 😛
Polisi wamenitrack niliokota simu
Maelezo ya ndani..ni mama yangu aliokota akanipa

Huna tofauti na hawa hapa 👇
Kichwa cha habari..hatukuenda kuangalia movie
Maelezo ya ndani :mambo tuliyoyafanya kule hayafai kuwekwa hadharani

We bora ukimbie , walee
 
Msaada wa kisheria simu ya kuokota nakamatwa na polisi. Mama yangu aliokota simu smat phone akanipa sababu yeye Hawezi tumia nikaweka laini hapa nimepagawa,

Hii imekaaje mbaya zaidi aliepoteza simu anadai kwao ilibiwa simu, TV nch 32, jiko la ges plate mbili.

Je, machomokaje katika hili tatizo?
Mkiona kimya mjue nawasiliana na polisi maana wanasumbua balaa

Msaada wa Kisheria:

Simu ukiokota unatoka taarifa Police! Nenda kawe Mpole tu na jiandae na walau laki 1 mkononi!
 
Hivi simu ni kitu cha kuokota kweli?? 😅watu mna hatariiii
 
Msaada wa kisheria simu ya kuokota nakamatwa na polisi. Mama yangu aliokota simu smat phone akanipa sababu yeye Hawezi tumia nikaweka laini hapa nimepagawa,

Hii imekaaje mbaya zaidi aliepoteza simu anadai kwao ilibiwa simu, TV nch 32, jiko la ges plate mbili.

Je, machomokaje katika hili tatizo?
Mkiona kimya mjue nawasiliana na polisi maana wanasumbua balaa
Utakuta Sheria inasema ilitakiwa ukaripoti kituo Cha polisi kama umeokata kitu n c chako🤣
 
Ili mambo ya we rahis kwako, kubali kurudisha simu na kulipa vitu hivyo vingine
 
Ila sio fea sheria ilibidi zitungwe upya sisi hatujui utaratibu ni uonevu huu
Hakuna cha sio fair wala nini, hilo jamaa ni zombi kabisa, unatumia simu ya wizi? Simu iliyookotwa?
Mpaka sahivi bado kuna zombi linatumia simu isiyojulikana mazingira yake?
Anadeserve madhila yanayomkuta! Iwe fundisho
 
Jiandae kwenda kuwaonesha ulipoweka hiyo TV na jiko la gesi
 
Kama wiki 3 hivi zilizopita kuna mwamba alileta Uzi hapa wa kuwataka msiokote simu yoyote iliyotupwa,ukadhani umefaidi. Ule ni mtego. Una bahati kubwa umebambikiwa TV tu. Je angeuwawa mtu?. TV unaweza kulipa. Ndio pa kujifunza.
 
Back
Top Bottom