maharage ya ukweni
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 1,415
- 3,213
ππππππππππMdogo mdogo utasema tu ukweli ulikoitoa.......
Na hivi ameshakuwa mteja kazi ipo,yaani watu wakiwa na makosa polisi ndio wanafurahi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππππππππMdogo mdogo utasema tu ukweli ulikoitoa.......
Kama sio mtoto wa Mama jiandae kukaa mahabusu kwa siku kadhaa watakutoa we komaa simu uliiokota tena haikuwa na laini wakikwambia we ni mwizi kataa simamia msimamo wako watakushenta kidogo vumilia kama unajuana na mtu anajua sheria mwambie akufuatilie komaa uende mahakamani huko vitahitajika vielelezo hapo sasa ndio watajua hawajui ila haya yote kikubwa ni uvumilivu kwa maana hizo zingine huwa ni chezo/dili/A.k.a magumashi.NB: kabla ya kwenda jipange acha uoga.Tulishawapa onyo hayo mambo hamkusikia. Nenda kawape milioni 1 na simu wachukue wakuachie.
Wataitupa tena ili mjinga mwingine aingie King.
Hiyo ni michezo michafu ya polisi. Una bahati hujaambiwa mwenye simu kauwawa mngeuza mpaka nyumba ndo wakuache
Basi sasa kaseme nao huko lockupKaka cha kuokota sio cha kuiba
Hiyo ni uongo. Polisi waki-track wangekuja mpaka ulipo. Sema unataka kutujuza madhara ya kuokota smart phones bila kutoa taarifa polisi.Duh balaa hilo.
Umenikumbusha nilipokuwa Sumbawanga kikazi mwaka 1987 niliokota pochi ya mfukoni nzuri sana imetengenezwa kwa ngozi ya mamba, kwa wanaozijua wanazielewa na zina bei kali. Pochi hiyo ilikuwa nzito kiasi, kutokana na desturi zangu tangu utotoni sikutaka kuifingua, niliipeleka kituo cha polisi na nikaikabidhi kaunta, ilipokelewa na askari akaifungua mbele yangu, cha ajabu yule askari aliondoka haraka kimya bila kusema neno. Nilisimama kaunta kwa dakika 15 hivi bila kumuona akirudi, nikaamua kuchungulia mna nini ndani ya pochi. Kumbe pochi ilikuwa na vijitambaa vyeusi bilivyoviringishwa na kufungwa, nikahisi ni hirizi.Msaada wa kisheria simu ya kuokota nakamatwa na polisi. Mama yangu aliokota simu smat phone akanipa sababu yeye Hawezi tumia nikaweka laini hapa nimepagawa,
Hii imekaaje mbaya zaidi aliepoteza simu anadai kwao ilibiwa simu, TV nch 32, jiko la ges plate mbili.
Je, machomokaje katika hili tatizo?
Mkiona kimya mjue nawasiliana na polisi maana wanasumbua balaa
Another RIP or RIH, utamwona mafweleMsaada wa kisheria simu ya kuokota nakamatwa na polisi. Mama yangu aliokota simu smat phone akanipa sababu yeye Hawezi tumia nikaweka laini hapa nimepagawa,
Hii imekaaje mbaya zaidi aliepoteza simu anadai kwao ilibiwa simu, TV nch 32, jiko la ges plate mbili.
Je, machomokaje katika hili tatizo?
Mkiona kimya mjue nawasiliana na polisi maana wanasumbua balaa
Afande anapata uhakika familia itakula kuku.....ππππππππππ
Na hivi ameshakuwa mteja kazi ipo,yaani watu wakiwa na makosa polisi ndio wanafurahi
Sasa namba ya simu si ina details zako TCRA?Anazipotezea mazima tu,system inadetect namba na sio jina
Mbona umeweka PGO mkuu?HAKI ZAKO NA WAJIBU WA ASKARI HUO HAPO . NAKUTAKIA KAZI NJEMA YA UOKOTAJI. KUNA SHERIA ZA TCRA ZINAKATAZA UOKOTAJI. SITOKUTUMIA ILA ZIPO . MITANO KWA MAMA SAMIA
Aisee π―Msaada wa kisheria simu ya kuokota nakamatwa na polisi. Mama yangu aliokota simu smat phone akanipa sababu yeye Hawezi tumia nikaweka laini hapa nimepagawa,
Hii imekaaje mbaya zaidi aliepoteza simu anadai kwao ilibiwa simu, TV nch 32, jiko la ges plate mbili.
Je, machomokaje katika hili tatizo?
Mkiona kimya mjue nawasiliana na polisi maana wanasumbua balaa
Zipooo,ila mara nyingi ili hadi wakutrace tena ni hadi ukiweka ile line waliyokutrack nayoSasa namba ya simu si ina details zako TCRA?
Mama ake aliona eembe au chungwa sasa du hawajutishi ila ndo hvo msihara msihra unpigwa mvua...ur suspect no 1Kuokota simu sawa sawa na kuokota maiti.
Hapo ulipo ujue una kesi ya mauaji, mbaya zaidi polisi wanajua jina lako na unapoishi.
Ukipangua kesi ya mauaji utabaki na ya kuvunja nyumba na kuiba kutumia silaha.
Kwanza, hebu waonyeshe polisi silaha yako unapoihifadhi. Ole wako Kama umesahau ulipoificha, Kuna vitu watakutanyia mpaka ukumbuke.
Bye bye.
Mbona post # 18 hauijibu?Hapana mkuu mimi nimepewa na maza aliokota, Soma uzi vizuri
Na hata ukiitupa ww line yako ishametch na imei ya simu uliokota na zisharekodiwa namba ulipiga kwa kutumia simu hyo so wasikilize tu polisi wanavotaka usije kujaribu kuwakimbia utaunganishwa na bunduki iliyotumika kupora hzo silaha zimekaa tu chumba cha vidhibiti vinatafuta wa kubambikiziwa ni kama umeagiza kuku nusu unawekewa chips bila kuomba..pambana baba ku a mdau amesema sasa ukaielexea polisi kama ww sio muhusikaAisee π―
Siku hizi unaokota simu na unaweka line yako bila wasiwasi!? Hapa mna balaa wewe na huyo mama yako.
Mimi si mleta mada.Na hata ukiitupa ww line yako ishametch na imei ya simu uliokota na zisharekodiwa namba ulipiga kwa kutumia simu hyo so wasikilize tu polisi wanavotaka usije kujaribu kuwakimbia utaunganishwa na bunduki iliyotumika kupora hzo silaha zimekaa tu chumba cha vidhibiti vinatafuta wa kubambikiziwa ni kama umeagiza kuku nusu unawekewa chips bila kuomba..pambana baba ku a mdau amesema sasa ukaielexea polisi kama ww sio muhusika