Polisi wamkamata Joseph Sanura aka Ngosha, aliyekuwa mpenzi wa Penina wa Goba Centre

Kumtoa roho mtu kwa mtu kwa ajili ya mapenzi kwangu mimi ni ujuha tu, maana sasa hapo Ngosha anaanza sumbuka na polisi, mahakama, kote huko atahongoa, bado ataweka advocate hela napo itamtoka, haya marehemu kaacha watoto so Ngosha anaonekana muuaji kwenye macho ya hao watoto.

Kama mtu kaamua kuutumia mwili wake kwa mtu mwingine ni bora kuachana tu mbona Ke/Me wapo wengi mpaka wamepitiliza!!
shida ni rasilimali muda na pesa alizotumia jamaa kwa huyo manzi plus ahadi kuwa yuko peke yake sasa ikatokea otherwise ndo butchering ilipotokea!
 
Wivu wa mapenzi upo sana, lakini siyo kuuana na kukata mtu mapanga kwa kitu amacho unaweza kukipata kwa mtu mwingine.
Wivu upo, lakini mwanaume ukikosa sehemu moja nenda sehemu ya pili,hamia jiji jipya, kwani ukibadili ladha utakufa.
Ona sasa jamaa kaua,kakosa mapenzi,kapata jela, sasa huko jela hatoona tena vitu vizuri.labda akutane tu jini mahaba ndotoni.
 
Mhaya ,harafu anamiliki bar ....Tena goba ..

Harafu unaweka kambi eti Ni mke wako ,Tena unamchunga ..

Kwan Huyo ngosha kaja mjini Lin ....

Mim nikiona mwanamke mhaya huwa Nakamilisha Ile kauli ya "mwanamke Ni chimbo cha starehe " hawanaga Nomaa kabisa kumuinamisha hata nyuma ya geti Kwa buku tano Ni swala la kawaida kabisa ...
 
Alafu kamkuta na watoto 2

Ova
 
watani zangu kina ngosha wanakuwaga waporipori kweli, sijuiw ataacha lini ushamba.
 
Kumtoa roho mtu kwa mtu kwa ajili ya mapenzi kwangu mimi ni ujuha tu, maana sasa hapo Ngosha anaanza sumbuka na polisi, mahakama, kote huko atahongoa, bado ataweka advocate hela napo itamtoka, haya marehemu kaacha watoto so Ngosha anaonekana muuaji kwenye macho ya hao watoto.

Kama mtu kaamua kuutumia mwili wake kwa mtu mwingine ni bora kuachana tu mbona Ke/Me wapo wengi mpaka wamepitiliza!!
Jamaa kapotea kizembe sana na ushamba pia umechangia.
 
Back
Top Bottom