Polisi wampe ulinzi mke wa Dr. Mwaka. Sakata la ndoa yao lina vita ya kiuchumi ambayo inaweza kupelekea mauaji

Kwasababu ambazo zisizoweza kuvumilika! Na kwa hali ilivyo akibakia ndani ya ndoa ni rahisi sana kuumizwa! Hawataaminiana!
Sababu zipi zisizovumilika.?????

Usiandike tu kwakua haujaoa .

Usiandike tu nakutaja uchumi uchumi nakupiga Hesabu za mapatonya watu, bila kujua anapataje.
 
Ndiyo maana kuna talaka maana yake ni mwisho wa ndoa!
Ujinga kukomaa mwisho wake mauaji!
 
Hakika ni kuwa mke anaweza kuomba talaka kwa mumewe

Ikiwa anapata dhara kutoka kwa mumewe kama kumpiga, kutomtimizia tendo la ndoa kwa sababu yoyote ile, kughibu kwa muda bila kuwa na habari kumhusu na kadhalika. Hii inatokana na msingi wa Hadiyth ya Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) aliyesema: "Haifai kudhuru wala kulipana madhara" (Ahmad, Ibn Maajah, ad-Daraqutwniy).
Ikiwa mume hana istiqaamah katika Dini kama vile kuacha Swalah na kufanya maasi mengine mengi na makubwa.
Ikiwa mume hamtimizii mkewe haja zake za msingi kama kumtizama kwa chakula, malazi, matibabu na kadhalika.
Ikiwa mke hampendi tu mumewe, anaweza kuomba Khul'u (kujivua kwenye ndoa) na katika hali hii mke atabidi amrudishie mumewe mahari yake aliyompatia wakati wa harusi.

Hali hii ilitokea kwa Swahaabiyyah mke wa Thaabit bin Qays bin Shammaas:

عَنْ اِبْن عَبَّاس أَنَّ اِمْرَأَة ثَابِت بْن قَيْس بْن شَمَّاس أَتَتْ النَّبِيّ - صَلَّى اللَّه عَلَيْهِ وَسَلَّمَ - فَقَالَتْ يَا رَسُول اللَّه : مَا أَعِيبُ عَلَيْهِ فِي خُلُق وَلَا دِين وَلَكِنْ أَكْرَهُ الْكُفْرَ فِي الْإِسْلَام فَقَالَ رَسُول اللَّه صَلَّى اللَّه عَلَيْهِ وَسَلَّمَ: ((أَتَرُدِّينَ عَلَيْهِ حَدِيقَته)) قَالَتْ : نَعَمْ قَالَ رَسُول اللَّه - صَلَّى اللَّه عَلَيْهِ وَسَلَّمَ: ((اِقْبَلْ الْحَدِيقَة وَطَلِّقْهَا تَطْلِيقَة)) البخاري والنسائي

Kutoka kwa Ibn 'Abbaas kwamba mke wa Thaabit bin Qays bin Shammaas alikwenda kwa Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) akasema: Ee Rasuli wa Allaah! silalamiki kwa tabia yake wala dini yake lakini nachukiwa kukufuru katika Uislamu. Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) akamwambia: “Je utamrudishia bustani yake?” Akajibu: Ndio. Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) akasema kumwambia Thaabit: “Pokea bustani na muache talaka moja” [Al-Bukhaariy na An-Nasaaiy]

Ama mwanamke kuomba talaka bila ya sababu yoyote ajue kwamba haifai na isitoshe hatopata kusikia harufu ya Pepo:

عَنْ ثَوْبَان مَوْلَى رَسُول اللَّه – صَلَّى اللَّه عَلَيْهِ وَسَلَّمَ – عَنْ النَّبِيّ – صَلَّى اللَّه عَلَيْهِ وَسَلَّمَ – أَنَّهُ قَالَ 🙁(أَيّمَا اِمْرَأَة سَأَلَتْ زَوْجهَا الطَّلَاق فِي غَيْر مَا بَأْس حَرَّمَ اللَّه عَلَيْهَا رَائِحَة الْجَنَّة)) الترمذي و قال حديث حسن

Kutoka kwa Thawbaan amesema kwamba: Rasuli (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: “Mwanamke yeyote anayemuomba mumewe talaka bila ya sababu yoyote, Allaah Amemharimishia harufu ya Pepo” [At-Tirmidhiy na kasema Hadiyth Hasan]

Na Allaah Anajua zaidi
 
Huyo mwanamme naye wacha asome namba.
Aliacha imani yake ya mke mmoja wa ndoa akatamani mali za Mwaka na kubadili dini na kuolewa na akawa mke wa tatu kama sio wa nne sasa mambo anaona yameenda ndiyo sivyo ndio anaanza kulia,wacha avune alichopanda.
Akaze chupi na Brazia vizuri Mwaka hatamwacha salama anapenda ligi za kindezi.
 
Fafanua
 
Ili ilo Banda aendelee kupigwa miti na wanaume wengine?
Sisi wanaume kiasili ni wenye wivu yaani nijenge banda tukiachana nikupe uendelee kupigwa miti na wanaume wengine kwenye banda langu!!
Yamkini mwanamke alichochangia kwenye biashara ni kikubwa kikamfanya Dr. Mwaka aoe wake wengine!
Hivyo ile nyumba ni ya kulelea watoto sidhani kama miti na mpigwa mti anazuilika kupigwa miti!
Asipopigwa miti bongo atapigiwa south
 
Kwasababu ambazo zisizoweza kuvumilika! Na kwa hali ilivyo akibakia ndani ya ndoa ni rahisi sana kuumizwa! Hawataaminiana!
Sasa si asepe zake kimya kimya kwani talaka si karatasi ya maandishi tu. Mkiachana bila iyo talaka mtakufa? Sema tu anataka mgao wa mali ambazo hajazitolea jasho hakuna lolote hapo.
 
Sitapenda kuchimba sana kwenye mgogoro wa ndoa

Lakini naomba kusema machache kwenye sura ya usalama wa kila mmoja kwenye mgogoro huo!

Ukitazama kwa juu juu unaweza kushangaa kwanini mambo yao ya ndoani yameifikia jamii.

Lakini ukitafakali sana unagundua sakata lao ni sawa na moto, ulianza kama moto mdogo ndani ya nyumba yao lakini ulishindikana kuzimwa kwa faya extuingusher, hivyo moto umekuwa mkubwa moshi umetanda kiasi cha kuhitaji msaada wa jamii na zimamoto!

Hivyo serikali ikichelewa kutoa msaada wa haraka itakuwa kama zimamoto iliyochelewa! Hakutakuwa na kuokoa kila kitu kitapukutika!

VITA YA KIUCHUMI NI MBAYA SANA
Queen (mke wa Dr Mwaka) anaonekana kuhitaji taratibu zote za haki zifuatwe katika sakata lao la ndoa! Lakini anayokutana nayo kwenye kesi yake huenda kama siyo Rushwa basi yanavurugwa na mfumo dume!

Kwa maelezo yake mwenyewe anakutana na majibu ya jeuri, vitisho katika mamlaka yake ya haki ya ndoa! (Swali kwanini wamtishe? Kwa nini wamjibu jeuri mteja katika shauri la haki?

utakubaliana na mimi kwamba Kama siyo rushwa basi ni mfumo dume!
Ambapo kama Tabia hii haijakomeshwa iko siku taifa litaingizwa kwenye migogoro ya kijinsia! (Tusifike huko)

KWANINI HAYO YOTE?
Kwa taswira ya mmoja mmoja hakuna anayemhitaji mwenzake kindoa! Lakini kwasababu za kiuchumi ndicho kinacholeta marumbano hayo!.

TUKIANZA NA DR. MWAKA!

Huyu MWAKA ni mfanyabiashara, kazi yake kubwa inayompa wateja wengi ni kusuluhisha migogoro ya ndoa na tiba kwenye masuala ya uzazi (ndoa)!.

faida ya kazi hii ndiyo inayomlisha, ndiyo iliyompatia wake zake wengine!

Kwa mfano!
Endapo Ahadi ya wateja wa Dr. MWAKA kumuona kwa ajili ya ushauri wa kindoa walilipia (laki tatu ~Hadi tano) inamaana kwa siku anaweza kuwa anaingiza zaidi ya (2mil hadi 5mil) bila shaka itakuwa ni pesa nyingi kwa mwezi na mwaka!

Ukiachilia mbali ushauri, Imani ya mauzo ya dawa zake kutibu ndoa za wengine ni kubwa!

Hivyo ukijumlisha tiba na mauzo ya dawa utaona ni pesa nyingi kiasi gani
.
kwa lugha rahisi ni kwamba kumuua Dr. Mwaka kibiashara ni KUONDOA IMANI KWA WATEJA!

Hivyo kwa gharama yoyote iwe mvua iwe jua TALAKA YA NDOA HII Haiwezi kuwa rahisi kama wengi walivyotarajia!.

Kumpoteza mke wake kwa talaka ni shambulio kubwa sana la kibiashara linaliweka lehani mapato hata kuhatalisha ndoa zake zingine!

Swali ni je hayo yote hakuyajua mapema?

majibu ni mepesi tu "Kiburi cha pesa, Dharau na mfumo dume"
hivyo ndivyo vinavyoweza kuwa vimechangia!

Sakata hili ni sawa na bundi kuhamia kwa mganga! Analia usiku kucha, na mganga badala ya kupiga manyanga anatoa anatishia kumpiga bundi na bastola ili kumnyamazisha wateja wasimkimbie!

Katika vita hii Dr mwaka anaweza kufanya tukio baya sana ili kulinda biashara yake na wake zake!

Usalama wa Queen upo mashakani kama polisi hawatampa ulinzi kuanzia sasa!

Mambo yao ya kisheria na haki yatizamwe haraka kwa usalama wao!

Mgogoro wa nyumba ni sehemu ndogo sana wa maslahi ya Dr.mwaka!
Maslahi makubwa ya anayolinda ni biashara yake na wake zake wanaobaki!

Ikumbukwe pia mwaka anamikopo benki ambayo marejesho yanategemea biashara hiyo!

Hivyo uwezekano wa mwaka kufanya ukatili ili kuifumba jamii ni mkubwa mno endapo shauri lao kama halitasikilizwa mapema! Na itangazwe wazi!
Tuache wivu, huyo mwanamke kuna dalili zote za yeye kushawishiwa huo upumbavu wake, kama ana achika aachike asepe yeye kama yeye, na pia asidai chochote arudi kwao aache habari ya nyumba
 
mbwembwe zote zile za kukata mauno studio wakijiona weo ndiyo wana ndoa bora kuliko wote Tanzania zimeishia wapi? ....kuachana ni issue ya kawaida. Mtalinda wote wanaotalikiana?
 
Back
Top Bottom