Polisi wampeleka Tundu Lissu kwa mkemia mkuu kupima Mkojo, awagomea..

Polisi wampeleka Tundu Lissu kwa mkemia mkuu kupima Mkojo, awagomea..

Hili ni swali muhimu sana kwa wanaJF na wananchi kujiuliza.

Je lissu ametakiwa kupima mkojo baada ya mashtaka yake ya uchochezi(ambayo hatujajua kama ndio kosa) ?

au lissu ametakiwa kupimwa mkojo baada ya kupekuliwa nyumbani na kukutwa na ushahidi flani!
 
Big brother, kuna tatizo gani kupwimwa mkojo kubaini kama mtukanaji hakupovushwa na ngada?
Tusiwe wasahaulifu kila dakika iendayo kwa Mungu. Juzijuzi tu hapa Manji alimtukana Makonda. Kuja kumpima kumbe ngada ndiyo ilimpa jeuri.
Na isisomeke kupima ni kubambikia mtu, hapana.
Mbn bishop Gwajima alipimwa akaonekana fit?
Acha asorozwe kojo lake huyo mheshimiwa tuone kama kweli jaziba aliyopandisha siku ile, ilikuwa "natural"?

Wewe ndiye unasahau. Manji hakupimwa mkojo kwa sababu ya kumtukana makonda. Manji alikuwa ametuhumiwa na Makonda kuwa ni muuzaji na mtumiaji wa dawa za kulevya. Kwenye hiyo list na Gwajima naye alikuwemo.
 
Hili ni swali muhimu sana kwa wanaJF na wananchi kujiuliza.

Je lissu ametakiwa kupima mkojo baada ya mashtaka yake ya uchochezi(ambayo hatujajua kama ndio kosa) ?

au lissu ametakiwa kupimwa mkojo baada ya kupekuliwa nyumbani na kukutwa na ushahidi flani!
CCM hamushindwi kitu fanyen tu yote ila watanzania watawaadhibu katika sanduku la kura
 
Cheap politics. Hapo wanatafuta cha kumbambikia. Mbona hakutajwa kati ya wale watumiaji????? Hizo siyo siasa zenye tija hata kidogo. Tumepoteza muelekeo wa namna ya kushughulikia na kero za wananchi sasa tunarukia mambo ambayo yanakwenda kutuaibisha. Anyway, jamii inaona, muda utasema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imeamriwa akapimwe mkojo kwasababu ya tuhuma ya uchochezi.....[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Hii Tanzania pengine kweli kama alivyosema rais Magufuli tumerogwa tu. Tuhuma za uchochezi unapima Mkojo na kumsachi nyumbani kwake. Nadhani ni kufuatia maneno yake ndiyo maana yuko mikononi mwa polisi. Sasa mkojo wake una uhusiano gani na maneno ya uchochezi. Pili hivi kuna baadhi ya maneno alibakiza nyumbani. Polisi wetu bhana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lissu ana mawakili. Nashauri akubali kutoa mkojo (hata damu) lakini uwe kwenye sehemu mbili:

- moja inakwenda kwa mkemia mkuu wa serikali na ya

- pili iende kwenye independent lab ya upande wa utetezi ikisimamiwa na mawakili wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesema watambandikia kesi mbaya sana!
 
ndio kazi ya polisi kuchunguza kila wanacho kitilia mashaka..........
 
Hivi huko juu yupo nani?....mwisho wasiku asije akatukojolea tulio chini [emoji848]
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Na akipimwa itamuathiri nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
"Maisha ya mwanaume anayewindwa"

Nitaamini vipi huo mkojo wang unapopimwa nikiwekewa madawa nisingiziwe ngada je
na suala la uchochez na kupima mkojo vinaendana vipi. Yan hata waliomshika hawajui wanamshikia nini ndo maana wanahangaika na kutaka sample ya mkojo for what

Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu
 
Back
Top Bottom