Mkojo unasemaga ?Hiyo ni hatua mojawapo ya upepelezi wa Polisi! Siku hizi wamegundua kuwa kuna vimelea vya uchochezi vinapatikana kwenye mkojo kwa hiyo ni hatua mojawapo ya kukusanya ushahidi wao dhidi ya uchochezi
Na akipimwa itamuathiri nini?Dah tuhuma za uchochezi na kupima mkojo kunahusiana vipi
Maamuzi kutoka Juu
Big brother, kuna tatizo gani kupwimwa mkojo kubaini kama mtukanaji hakupovushwa na ngada?
Tusiwe wasahaulifu kila dakika iendayo kwa Mungu. Juzijuzi tu hapa Manji alimtukana Makonda. Kuja kumpima kumbe ngada ndiyo ilimpa jeuri.
Na isisomeke kupima ni kubambikia mtu, hapana.
Mbn bishop Gwajima alipimwa akaonekana fit?
Acha asorozwe kojo lake huyo mheshimiwa tuone kama kweli jaziba aliyopandisha siku ile, ilikuwa "natural"?
CCM hamushindwi kitu fanyen tu yote ila watanzania watawaadhibu katika sanduku la kuraHili ni swali muhimu sana kwa wanaJF na wananchi kujiuliza.
Je lissu ametakiwa kupima mkojo baada ya mashtaka yake ya uchochezi(ambayo hatujajua kama ndio kosa) ?
au lissu ametakiwa kupimwa mkojo baada ya kupekuliwa nyumbani na kukutwa na ushahidi flani!
Wanataka kufanya "character assasination"!Mkojo unahusiana vipi na uchochezi? Hii nchi ngumu sana kwakweli
Huenda anatumia ndio maana anaropoka. Asiwe na wasi wasi kama hatumiihaa haa mkojo na uchochezi ni wapi na wapi? hii ndo tanzania. mpaka aibu.
Kuna kosa la jinai la kutumia dona?Kama anatumia dona basi kwisha kazi yake
amemchochea nan?Probably Lissu anachochea akiwa under influence/intoxicated. Lissu lazima apimwe kama anatumia sembe.
Nimesema watambandikia kesi mbaya sana!Lissu ana mawakili. Nashauri akubali kutoa mkojo (hata damu) lakini uwe kwenye sehemu mbili:
- moja inakwenda kwa mkemia mkuu wa serikali na ya
- pili iende kwenye independent lab ya upande wa utetezi ikisimamiwa na mawakili wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na asipopimwa itaathiri mini?
"Maisha ya mwanaume anayewindwa"