Polisi wampeleka Tundu Lissu kwa mkemia mkuu kupima Mkojo, awagomea..

Mwisho wa movie hii ni kutumbukia kwenye majanga kama wenzetu wanavyotuzunguka walivyopita kwenye majanga miaka ya nyuma wakati tulipokuwa tukijinadi kama kisiwa cha amani.
labda sio Tanzania ya Magufuli
 
Wamfanye kama yule jamaa Wã arusha ... Akili yake imekaa sawa sasa ..
 
Nani amekereka kwa maneno ya Lissu juzi?Ni yepi yamemkera?Labda tamemkera vipi?

May Allah bless Me and You
 
Hivi kweli Watanzania tumefikia kiwango cha kudhalilishwa kiasi hiki. Hii ni aibu yetu sote kama Taifa. Tumekubwa na kitu gani? Ujinga huu hata nchi jirani wanatucheka.
 
Ha ha haaa,mkojo?uchochezi na mkojo wapi na wapi?si wampeleke mahakamani waone.mbona wanaweweseka tu
 


CCM wameharibu weledi na taaluma ya jeshi la polisi. hivi sasa polisi hawajui walitendalo ni
 
“Rais wa Tanzania ni mmoja tu, Hawa wengine
Rais wa TLS Rumande
Rais wa TFF Rumande
Rais wa Yanga Rumande
Rais wa Simba Rumande
Mwingine akijiita *Rais* asubiri moto wake.
[HASHTAG]#utanikamakweli[/HASHTAG]
Nchi haiwezi kuwa na utitiri wa marais ikakubalika.
[HASHTAG]#raiswangu[/HASHTAG] [HASHTAG]#HapaKaziTu[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…