jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Itabidi apelekwe huko baada ya kugomea vipimoMkojo? wamemuonea tu...nadhani wangeanzia kitengo cha afya ya akili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itabidi apelekwe huko baada ya kugomea vipimoMkojo? wamemuonea tu...nadhani wangeanzia kitengo cha afya ya akili.
labda sio Tanzania ya MagufuliMwisho wa movie hii ni kutumbukia kwenye majanga kama wenzetu wanavyotuzunguka walivyopita kwenye majanga miaka ya nyuma wakati tulipokuwa tukijinadi kama kisiwa cha amani.
labda sio Tanzania ya Magufuli
Hivi kweli Watanzania tumefikia kiwango cha kudhalilishwa kiasi hiki. Hii ni aibu yetu sote kama Taifa. Tumekubwa na kitu gani? Ujinga huu hata nchi jirani wanatucheka.
Wamfanye kama yule jamaa Wã arusha ... Akili yake imekaa sawa sasa ..
muda utaongea kuhusu matumizi ya ngada bongoMisimamo yake hiyo ndiyo kitu ya hatari kuliko unavyodhani. Muda utaongea...
Uchochezi na ulevi ni a na bHa ha haaa,mkojo?uchochezi na mkojo wapi na wapi?si wampeleke mahakamani waone.mbona wanaweweseka tu
Dah tuhuma za uchochezi na kupima mkojo kunahusiana vipi
Maamuzi kutoka Juu
View attachment 547452
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema amesema baada ya Tundu Lissu kutolewa ha Polisi cha Kati leo mchana, amefikishwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali na kupimwa mkojo.
Mapema asubuhi, mawakili akiwamo Fatma Karume walizuiliwa kuonana naye huku Jeshi la Polisi likisema litaendelea kumshikilia hadi uchunguzi utakapokamilika.
Mbunge huyo wa Singida Mashariki amekamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), akielekea Kigali, Rwanda kwenye kikao cha Halmashauri ya EALS kilichoanza jana.
"Kabla ya kuelekea nyumbani kwake Tegeta, wamempeleka kwa mkemia mkuu na ameshapimwa mkojo, sasa sijui ni kitu gani wanachunguza, kwa sasa wameshaelekea nyumbani kwake kwa ajili ya kumpekua,"amesema Mrema.
Licha ya kulala rumande hakuna aliyeruhusiwa kuingia na kumuona Tundu Lissu wakiwamo wanasheria wake. Mbali na Fatma, wengine waliokuwapo ni Peter Kibatala na Frederick Kihwelo.
====
UPDATE 1
Mapema kabla, Lissu alipitishwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali,alikataa kupimwa mkojo kwa sababu kipimo hicho hakihusiani na tuhuma za uchochezi.
More to follow

Mkuu ni sawasawa na mwanaume kumpigia simu mwanamke na kumwambia ana mimba yake.Wanataka kumshikisha kesi nyingine hao.
muda utaongea kuhusu matumizi ya ngada bongo