Polisi wampeleka Tundu Lissu kwa mkemia mkuu kupima Mkojo, awagomea..

Hivi vinaitwa vichekesho vya kuudhi...wanataka mbambikiza kesi nini? Kwakweli tunaombwe kubwa la uongozi
 
Hivi vinaitwa vichekesho vya kuudhi...wanataka mbambikiza kesi nini? Kwakweli tunaombwe kubwa la uongozi
Mkuu kwa kuwa wewe umezoea kubambikiza unajua kila mtu anawaza kubambikizia? Kama kubambikiza ni rahisi kihivyo walishindwa nini kumbambikizia Gwajima?
 
Uchochezi na kupimana mikojo wapi na wapi..
 
Kwan na wew upo kitengo cha uchunguzi...au unatumia atumiacho yeye maana kwa wenge lile lazima uwe stim

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Examination ya mkojo inaweza kutoa hint as to why he behaves like he does.Behaviour yake sio ya kawaida kabisa.
 
Wanasheria mawakili wa afrika wanakutana Kigali Rwanda nchi ambayo demokrsia yake inatiliwa mashaka na nchi nyingi duniani kwa bahati nzuri Tanzania tunauhusiano wa kirafiki.sina wasiwa wowote mswahiba wa nchi hizi mbili wamekubaliana mhe.Antipasi tundu Lissu mwanaharakati,raisi wa chama cha wanasheria,wakili wa mahakama kuu,mwanasheria wa chadema na mbunge wa upinzani(Chadema) kuingia kwake Rwanda kuna hofiwa.!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hah hah shujaa gani analia kama mtoto.
 
Kukataa kupima blood & urine cocaine level inaongeza suspicion level wa utumiaji wa hiyo kitu. Hata hivyo polisi wakidhibiti asipate hiyo kitu akiwa kokoroni withdraw symptoms (arosto) zitathibitisha maana tutasikia amekimbizwa Muhimbili. Asipoipata hiyo, basi itakuwa uchizi wa magonjwa mengine.

NB: Huko nyumbani kwake ambako polisi walienda kumpekua bila shaka walienda kupekuwa kama kuna unga. Wakivipata ushahidi wa kumpeleka mahakamani utakuwa umekamilika. Sijui wakili wake Fatums Karume alitaka Tundu apimwe mkojo na kupekuliwa nyumbani kwake kabla ya arrest? Si angeharibu ushahidi kwani kwanza angegoma kufanyiwa hivyo, ange deal dare hadi pale atakapokuwa amepoteza ushahidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…