Musoma Yetu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2016
- 2,633
- 2,297
Kuna kitu hapo! Si bure! Huyu jamaa tunaweza mpoteza hivi hiviAfrika ni shida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kitu hapo! Si bure! Huyu jamaa tunaweza mpoteza hivi hiviAfrika ni shida
Usiwe una kurupuka subir majibu kwanza ndo uanze kuongea sawa kijanaMkojo unahusiana vipi na uchochezi? Hii nchi ngumu sana kwakweli
Kama anatumia dona basi kwisha kazi yake
Kama mkojo msafi sijui anaogopa nini.Mbona Mch. Gwajima alionesha ushirikiano akawa huru?Kama anatumia dona basi kwisha kazi yake
Mkuu kwa kuwa wewe umezoea kubambikiza unajua kila mtu anawaza kubambikizia? Kama kubambikiza ni rahisi kihivyo walishindwa nini kumbambikizia Gwajima?Hivi vinaitwa vichekesho vya kuudhi...wanataka mbambikiza kesi nini? Kwakweli tunaombwe kubwa la uongozi
Kwan na wew upo kitengo cha uchunguzi...au unatumia atumiacho yeye maana kwa wenge lile lazima uwe stimHakuna lolote. Wanapoteza muda ili tu alale ndani leo. Jumatatu wanaanza tena abradakadabra zao. Sijui tumerogwa? Unakamatwa kwa uchochezi ila uchunguzi wa askari wetu sasa...unaanzia kwa mkemia mkuu kupimwa mkojo then kwako kupekuliwa. Huu ni "ulofa na upumbavu".
View attachment 547452
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema amesema baada ya Tundu Lissu kutolewa ha Polisi cha Kati leo mchana, amefikishwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali na kupimwa mkojo.
Mapema asubuhi, mawakili akiwamo Fatma Karume walizuiliwa kuonana naye huku Jeshi la Polisi likisema litaendelea kumshikilia hadi uchunguzi utakapokamilika.
Mbunge huyo wa Singida Mashariki amekamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), akielekea Kigali, Rwanda kwenye kikao cha Halmashauri ya EALS kilichoanza jana.
"Kabla ya kuelekea nyumbani kwake Tegeta, wamempeleka kwa mkemia mkuu na ameshapimwa mkojo, sasa sijui ni kitu gani wanachunguza, kwa sasa wameshaelekea nyumbani kwake kwa ajili ya kumpekua,"amesema Mrema.
Licha ya kulala rumande hakuna aliyeruhusiwa kuingia na kumuona Tundu Lissu wakiwamo wanasheria wake. Mbali na Fatma, wengine waliokuwapo ni Peter Kibatala na Frederick Kihwelo.
====
UPDATE 1
Mapema kabla, Lissu alipitishwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali,alikataa kupimwa mkojo kwa sababu kipimo hicho hakihusiani na tuhuma za uchochezi.
More to follow
Kwahiyo wakifika watamuambia kojoa!!!!? Na akidai sijisikii kukojoa/sina mkojo.....what next!!
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 547452
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema amesema baada ya Tundu Lissu kutolewa ha Polisi cha Kati leo mchana, amefikishwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali na kupimwa mkojo.
Mapema asubuhi, mawakili akiwamo Fatma Karume walizuiliwa kuonana naye huku Jeshi la Polisi likisema litaendelea kumshikilia hadi uchunguzi utakapokamilika.
Mbunge huyo wa Singida Mashariki amekamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), akielekea Kigali, Rwanda kwenye kikao cha Halmashauri ya EALS kilichoanza jana.
"Kabla ya kuelekea nyumbani kwake Tegeta, wamempeleka kwa mkemia mkuu na ameshapimwa mkojo, sasa sijui ni kitu gani wanachunguza, kwa sasa wameshaelekea nyumbani kwake kwa ajili ya kumpekua,"amesema Mrema.
Licha ya kulala rumande hakuna aliyeruhusiwa kuingia na kumuona Tundu Lissu wakiwamo wanasheria wake. Mbali na Fatma, wengine waliokuwapo ni Peter Kibatala na Frederick Kihwelo.
====
UPDATE 1
Mapema kabla, Lissu alipitishwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali,alikataa kupimwa mkojo kwa sababu kipimo hicho hakihusiani na tuhuma za uchochezi.
More to follow
Akil zenu hazina tofauti na Daktar aliyemfanyia opareshen ya kichwa mgonjwa,badala ya mguu.Wamefanya jambo la maana, hawataki kumuhukumu bila kujua status ya afya yake. Utapata wapi jeshi lenye upendo na raia wake kama hili. Huwezi kupata kwingine hisipokuwa Tanzania tu!