Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taratibu mkuu, fuatilia msimamo wa mtu kabla hujaconclude unavyotaka.Tabia za ki-CDM hizi.Hivi ninyi ni matusi tu na kebehi mtindo mmoja.Come back to your senses man,it is simply too much.Mnajimaliza mwenyewe halafu mnasema CCM wananunua viongozi wenu.Mtu mwenye akili timamu anaona wazi kwamba mmepoteza mwelekeo na dira.CCM ya Magufuli sio ya kununua viongozi mkuu,CCM ya sasa inajiuza yenyewe.
Hao nia yao ni kumsumbua tu.
Hakuna jingine.
Serikali ya kipuuzi kabisa hii!
Tunataka MAJI,BARABARA,MATIBABU na ELIMU bora sio ujinga huu!
Kesi ya uchochezi inahusika vipi kupimwa mkojo?Sheria inaruhusu nikubali au nikatae kupima chochote kile mwilini mwangu bila hati ya Mahakama!
Hawa wameshindwa kutupa maisha bora sasa wana mbwela mbwela tu kama Mbwa wa mtaa
Hapo ndipo panapowapa tabu watumishi wa serikali maana mkemia anatakiwa kutoa majibu yatakayomfurahisha Pogba vinginevyo utakuwa mwanzo wa kitumbua kutiwa mchangaMkojo unahusiana vipi na uchochezi? Hii nchi ngumu sana kwakweli
polisi wanajua kuwa ni kosa lakini Tambua kuwa polisi kwa sasa hawafanyi kazi kwa weledi wao bali hufanya kazi kwa zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM ndiyo maana kila siku wanaibua vioja vipya.Ni kosa kisheria mtu kuchukua sampuli kwenye mwili wako pasipo kuwa na ethical clearance.
Pia ni kosa zaidi kumlazimisha mtu kuchukua sampuli toka kwenye mwili wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
pesa zinatumika kudhoofisha upinzani zingeweza kujenga Hosptal za rufaa kila mkoa na kuwaajiri madaktari toka india,Swali la kujiuliza hivi hizi nguvu zinazotumika dhidi ya Lissu na wenzie, kwanini zisitumike kwenye naendelea,?
Kwanini rais wangu mpendwa anatumia nguvu nyingi kwao ilihali uchapaji wake wa kazi tayari umeshawanyoosha?
Haoni kwamba kwa kufanya hivyo anapoteza nguvu kwa kitu kisichokuwa na manufaa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndipo ambapo naona uozo wa vyama vyetu vya kitaaluma.polisi wanajua kuwa ni kosa lakini Tambua kuwa polisi kwa sasa hawafanyi kazi kwa weledi wao bali hufanya kazi kwa zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM ndiyo maana kila siku wanaibua vioja vipya.
mbinu iliyotumiwa na kikwete kwenda na majina mfukoni kule Dodoma ndiyo imetumika kwa mkemia mkuu kwani tayari kapewa maagizo atoe matokeo feki ili wapate kumbambikia kesi ya unga.Hapo ndipo panapowapa tabu watumishi wa serikali maana mkemia anatakiwa kutoa majibu yatakayomfurahisha Pogba vinginevyo utakuwa mwanzo wa kitumbua kutiwa mchanga