Polisi wampeleka Tundu Lissu kwa mkemia mkuu kupima Mkojo, awagomea..

Polisi wampeleka Tundu Lissu kwa mkemia mkuu kupima Mkojo, awagomea..

Serikali ya kipuuzi kabisa hii!
Tunataka MAJI,BARABARA,MATIBABU na ELIMU bora sio ujinga huu!
Kesi ya uchochezi inahusika vipi kupimwa mkojo?Sheria inaruhusu nikubali au nikatae kupima chochote kile mwilini mwangu bila hati ya Mahakama!
Hawa wameshindwa kutupa maisha bora sasa wana mbwela mbwela tu kama Mbwa wa mtaa
 
Tabia za ki-CDM hizi.Hivi ninyi ni matusi tu na kebehi mtindo mmoja.Come back to your senses man,it is simply too much.Mnajimaliza mwenyewe halafu mnasema CCM wananunua viongozi wenu.Mtu mwenye akili timamu anaona wazi kwamba mmepoteza mwelekeo na dira.CCM ya Magufuli sio ya kununua viongozi mkuu,CCM ya sasa inajiuza yenyewe.
Taratibu mkuu, fuatilia msimamo wa mtu kabla hujaconclude unavyotaka.

Kwanza sina chama. Msimamo wangu toka Jf inaanzishwa and before.

Pili, Maghufuli nilimpigia kura. Kwahiyo usikariri tu. Kila mara nataka kuijuitia kura yangu kwasababu ya haya yanaoyoendelea.

Upinzani ni lazima waipe serikali nafasi ya kuongoza. Lakini serikali ni lazima ihakikishe demokrasia inatawala na uhuru wa habari pia kukosoa bila kuvunja sheria wala katiba ya nchi. Usiniletee kabisa unazi wenu wa ccm vs chadema.

Bila unazi wa chama, serikali inavyowafanyia upinzani siyo sahihi na ni kinyume cha katiba.
 
Mkojo wake unafanya uchochezi ili vyoo viandamane [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hao nia yao ni kumsumbua tu.

Hakuna jingine.

HAPANA KAKA KWA LUGHA "KALI" ANAZOTOA MH. UPO UWEZEKANO WATU WAKAHISI ANAPATA "BOOSTER" . NAFIKIRI WALITAKA KUMPIMA ILI WAONDOE SHAKA JUU YAKE, KUONDOA UTATA, NA KWA VILE YEYE ANAJIAMINI HAPATI "BOOSTER", ANGEWAACHA WACHUKUE VIPIMO WALIVYOVITAKA
 
Serikali ya kipuuzi kabisa hii!
Tunataka MAJI,BARABARA,MATIBABU na ELIMU bora sio ujinga huu!
Kesi ya uchochezi inahusika vipi kupimwa mkojo?Sheria inaruhusu nikubali au nikatae kupima chochote kile mwilini mwangu bila hati ya Mahakama!
Hawa wameshindwa kutupa maisha bora sasa wana mbwela mbwela tu kama Mbwa wa mtaa

Hama nchi! tafuta pesa upate maisha bora na si kushinda kwenye keybod kulalamika!!
 
Ninamkumbuka mzee kingunge alisema huyu alistahili kuwa mnyampala wa Barabara na si vinginevyo sasa yametimia
 
Ni kosa kisheria mtu kuchukua sampuli kwenye mwili wako pasipo kuwa na ethical clearance.

Pia ni kosa zaidi kumlazimisha mtu kuchukua sampuli toka kwenye mwili wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali la kujiuliza hivi hizi nguvu zinazotumika dhidi ya Lissu na wenzie, kwanini zisitumike kwenye naendelea,?

Kwanini rais wangu mpendwa anatumia nguvu nyingi kwao ilihali uchapaji wake wa kazi tayari umeshawanyoosha?

Haoni kwamba kwa kufanya hivyo anapoteza nguvu kwa kitu kisichokuwa na manufaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkojo unahusiana vipi na uchochezi? Hii nchi ngumu sana kwakweli
Hapo ndipo panapowapa tabu watumishi wa serikali maana mkemia anatakiwa kutoa majibu yatakayomfurahisha Pogba vinginevyo utakuwa mwanzo wa kitumbua kutiwa mchanga
 
Ni kosa kisheria mtu kuchukua sampuli kwenye mwili wako pasipo kuwa na ethical clearance.

Pia ni kosa zaidi kumlazimisha mtu kuchukua sampuli toka kwenye mwili wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
polisi wanajua kuwa ni kosa lakini Tambua kuwa polisi kwa sasa hawafanyi kazi kwa weledi wao bali hufanya kazi kwa zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM ndiyo maana kila siku wanaibua vioja vipya.
 
Swali la kujiuliza hivi hizi nguvu zinazotumika dhidi ya Lissu na wenzie, kwanini zisitumike kwenye naendelea,?

Kwanini rais wangu mpendwa anatumia nguvu nyingi kwao ilihali uchapaji wake wa kazi tayari umeshawanyoosha?

Haoni kwamba kwa kufanya hivyo anapoteza nguvu kwa kitu kisichokuwa na manufaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
pesa zinatumika kudhoofisha upinzani zingeweza kujenga Hosptal za rufaa kila mkoa na kuwaajiri madaktari toka india,
 
polisi wanajua kuwa ni kosa lakini Tambua kuwa polisi kwa sasa hawafanyi kazi kwa weledi wao bali hufanya kazi kwa zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM ndiyo maana kila siku wanaibua vioja vipya.
Hapa ndipo ambapo naona uozo wa vyama vyetu vya kitaaluma.

Mfano- ni rahisi sana kwa technician kudai consent ya muhusika. Na kama hakuna akasema hapana, kitaaluma natakiwa muhusika maadam yupo hai basi aridhie.

Lakin pia namsifu sana rais wetu manake yu ajua kwamba kelele zetu ni za chura tu haziwez kumzuia mtekaji kueka maji.

Hakuna cha chama cha haki za binadam wala nini. Sote tunaishia tu kusema sio haki afu afu tunakaa kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ndipo panapowapa tabu watumishi wa serikali maana mkemia anatakiwa kutoa majibu yatakayomfurahisha Pogba vinginevyo utakuwa mwanzo wa kitumbua kutiwa mchanga
mbinu iliyotumiwa na kikwete kwenda na majina mfukoni kule Dodoma ndiyo imetumika kwa mkemia mkuu kwani tayari kapewa maagizo atoe matokeo feki ili wapate kumbambikia kesi ya unga.
 
Halafu kweli apimwe huyu mtu anaropoka sana always yawezekana kuna kitu anatumia na kama hatumii kwa nini akatae?
 
Back
Top Bottom