Duh! Kwahiyo akishughulikiwa anayeshabikia ccm anachekwa ila akishughulikiwa mtu wa upinzani inakuwa kaonewa?Uyu dada sio kwamba watu wanamwonea wivu hapana...
Shida ni kwamba ana kiherehere sana na kuishobokea ccm,,mara kumsifia sijui nani anaupiga mwingi..mda wote kujipendekeza kwa serikali tawala..sasa ccm wanamnyoosha ndio maana wengi wanamcheka.
Ajiandae kukaguliwa biashara zake na watoza Kodi 🙂↔️🙂↔️ na kama tunavojuana wafanyabiashara tunavyofanya bidii kukwepa Kodi za serikali 🤣🤣..
Akitoka uko mwambieni aache uchawa afanye biashara zake kimya..
Hela ninazo ww nibinulie nikugawienjaa tu inakusumbua katafute hela
Halafu huu ungese wa kuvunja sheria na kutaka huruma kisa jinsia ya kike inabidi ifike mwisho. Nimeona watu wengi wenye kauli za kipumbavu kwamba "kwanini unabishana na mtoto wa kike?".... nendeni central mkamtoe. Sheria haina jinsiaMtoto wa kiume una wivu kwa mtoto wa kike shame
Ahsante.Halafu huu ungese wa kuvunja sheria na kutaka huruma kisa jinsia ya kike inabidi ifike mwisho. Nimeona watu wengi wenye kauli za kipumbavu kwamba "kwanini unabishana na mtoto wa kike?".... nendeni central mkamtoe. Sheria haina jinsia!
Sio kirahisi hivyo.Kajipatia mileage ya kutosha akiitumia vizuri na naamini atafanya hvyo kwa kua ndio eneo lake la kujidai basi atapiga hela za kutosha.
Niffer collection
Niffer lingerie
Niffer perfume
Niffer restaurant
Niffer smartphone
Niffer agro machinery
Niffer dairy milk
Niffer automotive
Niffer carwash
Niffer estate
Niffer attorney
Niffer safari and tour gaid
Niffer builders
Niffer Tile's
Niffer unga wa lishe
Niffer massage
Niffer gas (hapa atapiga hela sana)
Niffer's touch
anything Niffer touch turn to gold
Inakuuma sana dogo wa 2000 kukuzudi mafanikio makurumbembe mishangazi ndo mmeaumua kupata faraja kwa kumuattack pumbafuu nyieHalafu huu ungese wa kuvunja sheria na kutaka huruma kisa jinsia ya kike inabidi ifike mwisho. Nimeona watu wengi wenye kauli za kipumbavu kwamba "kwanini unabishana na mtoto wa kike?".... nendeni central mkamtoe. Sheria haina jinsia
Kuna vijana wengi sana wadogo wana mafanikio kuliko Niffer ila wana nidhamu. Halafu kila mtu ana muda wake aliopangiwa kuwa na mafanikio. Ukiacha kuingiliwa utakuwa na akili.Inakuuma sana dogo wa 2000 kukuzudi mafanikio makurumbembe mishangazi ndo mmeaumua kupata faraja kwa kumuattack pumbafuu nyie
Asipoelewa kwa maelezo haya hataelewa kamwe.Huwezi kupewa 'agizo' na mamlaka za kiserikali then ukaja kujibu mitandaoni huku ukijinasibu una jeshi nyuma yako. Pesa, mafanikio & nyota njema bila akili za kawaida (Common sense) ni sifuri. BTW Hatosumbuliwa sana ila ataipata elimu kwa njia ngumu kutokana na kutokuchunga mdomo/mikono yake. Hata huko tunapoiga demokrasia na uhuru wa kutoa maoni unapoombwa/agizwa na mamlaka za kiserikali juu ya jambo fulani huwezi kujibu kuwa una 'jeshi kubwa nyuma yako' na hata serikali inajua. Unaweza ukaitukana Serikali kadiri utakavyo lakini kamwe usijaribu 'kuitishia'.
hv ni mara ya ngap maghorofa kuanguka hiyo serikal Yako imefanya nn ? kwahiyo Kaz ya serikali ni kukusanya michango?Mpuuzi kabisa. Huwezi kufanyia insubordination serekali. Kwamba yenyewe haiwezi kuchangia au kujipanga lazima uombe kibali
Wazir mkuu wako angekuwa timamu angeanza kudili na taasisi na mmiliki waliopelekea hayo maafaChawa za nifa zimekaza mokomwe yao kweli. Hazitaki kuelewa kitu. Safari hii tunawapiga mkomesho muache tabia zenu za kitapeli tapeli. Kuibia watu haijawahi kuwa ubunifu
Ttzo Huyo dada anaishi kwenye nchi ya wendawazim , serikali inayoteka watu Leo imempata mchangishaji michango ila kumshika mafwele HAWAWEZ , bado mnamlaum NifferAmejichanganya sana hapa.
Very simple kbs , serikal unatafuta kikiWangechukua pesa alizochangisha au wamsimamie azitumie pesa hizo
Hiyo serikal ilipewa taarifa na Sativa kutekwa na Mafwele ,je walichukua hatua gan ? Leo serikal wanagombaniana michango ?Bubu....tulia mwizi ni mwizi tu........kwanini akuja Dar kwenye sehemu ya maafa?
Juz watu wametekwa serikali ilichukua hatua gan ? Serikal ilishajiweka kando na jamii , Leo wanagombania michango ?Unajua hata mie nilikua najiuliza sana,kwani tangu ijumaa niffer tupo nae Dodoma katika uzinduzi wa duka lake,sasa nawaza kua Dar alifika lini mpaka nakuanza changisha hiyo michango?
Huti binti hajavunja sheria , waziri mkuu amekurupukaKosa lake ni nini, kwamba alikusanya hela na kuzila, au aliwasaidia/kwa lengo la kuwasaidia majeruhi na wafiwa?
Hizo kodi wanalipa mishahara watu wanatoa kibali Cha ujenz bila kukagua ujenzSasa we mtu ana amka tu anaanza kujichangishia pesa ovyo wachukue pesa zote kwenye simu yake na waanze kumchunguza analipaje kodi
Nilichokiona ni tumeenda haraka sana, nafikiri Mkuu angesema tu wote waliochangisha wawasilishe kwenye kamati ya maafa. Nimeona dada alikuwa wazi sana kusema kiasi alichokipata hadi ule wakati.
Ila na yeye dada alikosea namna ya kuukabili huu upepo, sijui kile kitabu cha 48 Laws alichosema anakisoma kimemsaidia nini kwenye huu upepo. Au yalikuwa maigizo tu.
waTz hamjui sheria, na hilo ndio tatizo. Na serikali imezificha kwenye makaratasi badala hata waanzishe kipindi cha mahakama live kama kipindi cha judge Judy channel e, ili watu wa kesi flani ambazo ni za kutoa knowledge kwa wananchi waelewe sheria inasemaje waone live kila kitu, ushahidi, maelezo hadi hukumu.
alichofanya huyo binti amevunja sheria, na sababu alikua hajui sheria hio, ila kutokujua sheria hakukupi kusanehewa kisa hujui sheria. I'm.in law issues, hekima tu is what she need to wish itumike, but ametenda kosa.