Polisi wamsafirisha Niffer hadi Dar kutokea Dodoma baada ya kujisalimisha kufuatia agizo la Waziri Mkuu la kukamatwa

Polisi wamsafirisha Niffer hadi Dar kutokea Dodoma baada ya kujisalimisha kufuatia agizo la Waziri Mkuu la kukamatwa

Uyu dada sio kwamba watu wanamwonea wivu hapana...

Shida ni kwamba ana kiherehere sana na kuishobokea ccm,,mara kumsifia sijui nani anaupiga mwingi..mda wote kujipendekeza kwa serikali tawala..sasa ccm wanamnyoosha ndio maana wengi wanamcheka.

Ajiandae kukaguliwa biashara zake na watoza Kodi 🙂‍↔️🙂‍↔️ na kama tunavojuana wafanyabiashara tunavyofanya bidii kukwepa Kodi za serikali 🤣🤣..

Akitoka uko mwambieni aache uchawa afanye biashara zake kimya..
Duh! Kwahiyo akishughulikiwa anayeshabikia ccm anachekwa ila akishughulikiwa mtu wa upinzani inakuwa kaonewa?
 
Kajipatia mileage ya kutosha akiitumia vizuri na naamini atafanya hvyo kwa kua ndio eneo lake la kujidai basi atapiga hela za kutosha.
Niffer collection
Niffer lingerie
Niffer perfume
Niffer restaurant
Niffer smartphone
Niffer agro machinery
Niffer dairy milk
Niffer automotive
Niffer carwash
Niffer estate
Niffer attorney
Niffer safari and tour gaid
Niffer builders
Niffer Tile's
Niffer unga wa lishe
Niffer massage
Niffer gas (hapa atapiga hela sana)
Niffer's touch

anything Niffer touch turn to gold
Sio kirahisi hivyo.
 
Halafu huu ungese wa kuvunja sheria na kutaka huruma kisa jinsia ya kike inabidi ifike mwisho. Nimeona watu wengi wenye kauli za kipumbavu kwamba "kwanini unabishana na mtoto wa kike?".... nendeni central mkamtoe. Sheria haina jinsia
Inakuuma sana dogo wa 2000 kukuzudi mafanikio makurumbembe mishangazi ndo mmeaumua kupata faraja kwa kumuattack pumbafuu nyie
 
Inakuuma sana dogo wa 2000 kukuzudi mafanikio makurumbembe mishangazi ndo mmeaumua kupata faraja kwa kumuattack pumbafuu nyie
Kuna vijana wengi sana wadogo wana mafanikio kuliko Niffer ila wana nidhamu. Halafu kila mtu ana muda wake aliopangiwa kuwa na mafanikio. Ukiacha kuingiliwa utakuwa na akili.
 
Huwezi kupewa 'agizo' na mamlaka za kiserikali then ukaja kujibu mitandaoni huku ukijinasibu una jeshi nyuma yako. Pesa, mafanikio & nyota njema bila akili za kawaida (Common sense) ni sifuri. BTW Hatosumbuliwa sana ila ataipata elimu kwa njia ngumu kutokana na kutokuchunga mdomo/mikono yake. Hata huko tunapoiga demokrasia na uhuru wa kutoa maoni unapoombwa/agizwa na mamlaka za kiserikali juu ya jambo fulani huwezi kujibu kuwa una 'jeshi kubwa nyuma yako' na hata serikali inajua. Unaweza ukaitukana Serikali kadiri utakavyo lakini kamwe usijaribu 'kuitishia'.
Asipoelewa kwa maelezo haya hataelewa kamwe.
 
Unajua hata mie nilikua najiuliza sana,kwani tangu ijumaa niffer tupo nae Dodoma katika uzinduzi wa duka lake,sasa nawaza kua Dar alifika lini mpaka nakuanza changisha hiyo michango?
Juz watu wametekwa serikali ilichukua hatua gan ? Serikal ilishajiweka kando na jamii , Leo wanagombania michango ?
 
Nilichokiona ni tumeenda haraka sana, nafikiri Mkuu angesema tu wote waliochangisha wawasilishe kwenye kamati ya maafa. Nimeona dada alikuwa wazi sana kusema kiasi alichokipata hadi ule wakati.

Ila na yeye dada alikosea namna ya kuukabili huu upepo, sijui kile kitabu cha 48 Laws alichosema anakisoma kimemsaidia nini kwenye huu upepo. Au yalikuwa maigizo tu.

Na ndivyo sheria inataka hivyo , na wala haielezi kwamba lazima uombe kibali cha kukusanya .
Sheria inasema mtu yeyote akikusanya michango lazima aiwasilishe kwenye kamati.
 
waTz hamjui sheria, na hilo ndio tatizo. Na serikali imezificha kwenye makaratasi badala hata waanzishe kipindi cha mahakama live kama kipindi cha judge Judy channel e, ili watu wa kesi flani ambazo ni za kutoa knowledge kwa wananchi waelewe sheria inasemaje waone live kila kitu, ushahidi, maelezo hadi hukumu.

alichofanya huyo binti amevunja sheria, na sababu alikua hajui sheria hio, ila kutokujua sheria hakukupi kusanehewa kisa hujui sheria. I'm.in law issues, hekima tu is what she need to wish itumike, but ametenda kosa.

Wewe huelewi kitu huyo binti hajavunja sheria
Nimekua ambatishia sheria ya maafa soma kifungu 35 na 36 kina maudhi ya alichokifanya huyo binti .
Kwa kuisoma hiyo sheria yote sijaona sehemu huyo binti amevunja sheria .
Labda tuelezwe kwamba hizo hela alizokusanya ameshazitumia kwa mambo yake
 

Attachments

Kibali awe nacho maana ata wale tunaowaona barabarani wanomba msaada wanaumwa wanakuwa na vibali tena vimepigwa lamination
[/QUOTE]

Sheria ya maafa hailezi hitaji la kuomba kibali kuchangisha.
Mtu yeyote anaweza kuchangisha ila atatakiwa kuzowasilisha fedha hizo kwenye kamati ya maafa
 

Attachments

Back
Top Bottom