Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
NitafurahiWashamba kweli.
Kwanini basi asingesajili namba mpya asitumie ya biashara zake.
Aisee imekula kwake wataondoka na hela zake nyingi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NitafurahiWashamba kweli.
Kwanini basi asingesajili namba mpya asitumie ya biashara zake.
Aisee imekula kwake wataondoka na hela zake nyingi sana
Hili 👆 👆 ni kweli kabisa na halina ubishi.Wwe ndiyo wa hovyo hadi nakuonea huruma, mmesha aambiwa mara nyingi sana kutokujua sheria siyo kinga ya kutokuchukuliwa hatua za kisheria!!
AjahahhaKwani we hujui kama niffer anamatatizo ya shingo?
Sasa hicho ni kwajili ya kuchaji shingo inapoanza kulegea
Unajua hata mie nilikua najiuliza sana,kwani tangu ijumaa niffer tupo nae Dodoma katika uzinduzi wa duka lake,sasa nawaza kua Dar alifika lini mpaka nakuanza changisha hiyo michango?Na wewe .....tumia logic basi.......yeye yupo Dodoma amekusanyaje pesa ya wahanga akiwa Dodoma....kama sio utapeli ni nini?😀
Kibali awe nacho maana ata wale tunaowaona barabarani wanomba msaada wanaumwa wanakuwa na vibali tena vimepigwa laminationHuyo wakili watamfyata mkia kwa kumwambia hayo ni maagizo na amri kutoka juu kwa mheshimiwa waziri.
Na akijaribu kubweka, Anaweza nyamazishwa na wazee wasio julikana.
Sio uchawa kiheleheleUyu dada sio kwamba watu wanamwonea wivu hapana...
Shida ni kwamba ana kiherehere sana na kuishobokea ccm,,mara kumsifia sijui nani anaupiga mwingi..mda wote kujipendekeza kwa serikali tawala..sasa ccm wanamnyoosha ndio maana wengi wanamcheka.
Ajiandae kukaguliwa biashara zake na watoza Kodi 🙂↔️🙂↔️ na kama tunavojuana wafanyabiashara tunavyofanya bidii kukwepa Kodi za serikali 🤣🤣..
Akitoka uko mwambieni aache uchawa afanye biashara zake kimya..
Bado angefanya udanganyifu kwanini atumie lain yake binafsiangeonywa na kutakiwa kuonyesha kiasi cha pesa alichokusanya. kisha angeambiwa azigawe kwa waathirika.
Nchi ya kusadikikaila ni kitu gani hao umbwa waliotumwa plus mafuta etc etc na muda pia wangeongeza nguvu hiyo kweye uokoaji si hata watu wawili wangepona? sisi ni viazi usijitetee.
Ni sawa, kwa sababu huko kwa wenzetu huwezi kupata kisa kama hiki, sasa endelea kusherehekea kukamatwa kwake huyu.Sawa sidhani kama nina cha kuendelea kuchangia
Wale ni vilaza bendera fata upepo kichwani ni zeroHuyu dada inaonekana kama ana maadui wengi sasa sijui ni fitna au wivu tu juu yake au ni nini?
Maana nimesikia leo kioind wasafi radio akina zembwela na kitenge wanamkalia kooni haswa mpaka nikajiuliza ,shida ni hii hii michango au labda kuna mengine?
Taja sheria iliyovunjwa. Akili ikijaa fenesi na bia ni jangaWwe ndiyo wa hovyo hadi nakuonea huruma, mmesha aambiwa mara nyingi sana kutokujua sheria siyo kinga ya kutokuchukuliwa hatua za kisheria!!
Ila hawana kihehele kama cha uyo demu wakoNi sawa, kwa sababu huko kwa wenzetu huwezi kupata kisa kama hiki, sasa endelea kusherehekea kukamatwa kwake huyu.
Ndio itapendeza zaidiKuanzia sasa sichangii tukio lolote zaidi ya michango ya kanisani kwangu.
Si ndio hapo. Maafa yana utaratibu zake. ,huwezi kuamka huko ukaanza kukusanya hela za maafa bila kuwasiliana na kamati za maafa husika. Mtu unatoa account binafsi kuchangisha hela?Kutaka Kiki tu, kwanini asingetoa mchango yeye kama yeye?
Tena nchi za wenzetu wana sheria kali, na wanazifuata ukweli. Hawezi kuamka na kuanza kuchangisha fedha kwenye account binafsi wakakuacha salamaNaona umefurahiiii sana mkuu. Tupe kisa kimoja tu cha "nchi za wenzetu" kama hiki cha kwetu ambapo raia alifunzwa kwa namna hii.
Ni kweli kabisa. Wanatembea na vibali vyao mkononiKibali awe nacho maana ata wale tunaowaona barabarani wanomba msaada wanaumwa wanakuwa na vibali tena vimepigwa lamination