wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,046
- 2,453
- Thread starter
-
- #41
Ok. Muda si mtefu nitaipanfisha hapa hiyo stika ya buku saba niliyouziwa kwa buku 12.Iyo nakala sina.. nipo kwenye semina Ndo tumeambiwa iyo bei
Iyo 7k Labda na udalali tu
Mimi nimepigwa mkono trafiki kaja kaniuzia . lakini ukienda trafiki polisi wilaya au mkoa wanakuuzia hata kama gari yako iko juu ya maweHivi zinapatiakan wapi,nininunue kuepukana na usumbufu...
Hata mimi nimenunua 5k mkuu gari ndogo.Mwaka jana 3k yuko sahihi.Uko nchi gani? 5k? Labda stika ya baisikeli. Siku nyingine
Kama huna ushahidi usiwe unakomenti.
Acha dharau mkuu, nimekata kwa 5k!!Uko nchi gani? 5k? Labda stika ya baisikeli. Siku nyingine
Kama huna ushahidi usiwe unakomenti.
Kweli 5000 hata mimi nimekata for private ni 5000 na wanaandika pale chini. Soma sticker yako chini imeandikwaje kama ni for private.Uko nchi gani? 5k? Labda stika ya baisikeli. Siku nyingine
Kama huna ushahidi usiwe unakomenti.
TANGU MWANZO HIO 3000 SIJAWAHI KUPATA MAANA WANATEMBEA NAZO MIKONONI HUZIPATI OFISINI WANAZIFANYIA UDALALI, SAIVI 10K LAZIMA ITUTOKE.
ANYWAY ZIMEANZA KUTOKA LINI KWAN WIKI YA USALAMA BARABARANI IMEANZA?
Mbona huku hakuna huo msako? Ngoja kesho nikanunue kuna pot namjua ntamuulizia kama ana akiba, bado tu wanatoa stika au kielektronikiTangu mwaka jana mwezi november, kwa sasa zinaisha na zingine zimefichwa ili watu wapigwe!