Polisi wapandisha bei za stika kutoka Tsh. 3,000 hadi Tsh. 7,000, ongezeko la zaidi ya 133%

Polisi wapandisha bei za stika kutoka Tsh. 3,000 hadi Tsh. 7,000, ongezeko la zaidi ya 133%

Hivi zinapatiakan wapi,nininunue kuepukana na usumbufu...
Mimi nimepigwa mkono trafiki kaja kaniuzia . lakini ukienda trafiki polisi wilaya au mkoa wanakuuzia hata kama gari yako iko juu ya mawe
 
Bado hapo unakutana na afande una mpa 10k anasema hana chenji. Anaitafuta hyo 3k kama ujira wake. Tanzania bado sana kimaendeleo
 
Magari yanayotakiwa kukaguliwa ni yale chakavu, ndinga mpya ya 2023 hao polisi wanakagua nini?
 
Bei ya stika kwa sasa imeandikwa 5000, ila kwa haki kabisa hii kitu ni none sense na hata haina haja. Lengo ni ukaguzi na ukaguzi huu haufanyiki kwa magari madogo.


Hii ni aina ingine tu ya upigaji, wale sponsors walio jaa kwenye sticker kazi yao ni ipi na hela walizotoa kufadhili hiyo wiki ya usalama barabarani?!
 
TANGU MWANZO HIO 3000 SIJAWAHI KUPATA MAANA WANATEMBEA NAZO MIKONONI HUZIPATI OFISINI WANAZIFANYIA UDALALI, SAIVI 10K LAZIMA ITUTOKE.

ANYWAY ZIMEANZA KUTOKA LINI KWAN WIKI YA USALAMA BARABARANI IMEANZA?

Tangu mwaka jana mwezi november, kwa sasa zinaisha na zingine zimefichwa ili watu wapigwe!
 
Tangu mwaka jana mwezi november, kwa sasa zinaisha na zingine zimefichwa ili watu wapigwe!
Mbona huku hakuna huo msako? Ngoja kesho nikanunue kuna pot namjua ntamuulizia kama ana akiba, bado tu wanatoa stika au kielektroniki
 
Back
Top Bottom