Pre GE2025 Polisi waridhia Maandamano ya CHADEMA Arusha, wasisitiza kuzingatia Sheria za Nchi

Pre GE2025 Polisi waridhia Maandamano ya CHADEMA Arusha, wasisitiza kuzingatia Sheria za Nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mimi nimebaki kwenye anuani ya aliyeandikiwa. Ni jambo dogo lakini linaongea mambo mengi.

Anyway maandamano mema.
 
Hiyo ni Barua ya Police kutaarifu umma utayari wao kulinda na kusimamia maandamano.

Ruhusa ya maandamano haitolewi police,

Ruhusa ya maandamano imetolewa na KATIBA ya nchi.

Usitoe Boko kamanda Erythrocyte
Hiyo Katiba sio lazima ifuatwe na watawala mkuu, usisahau hilo
 
Hiyo ni Barua ya Police kutaarifu umma utayari wao kulinda na kusimamia maandamano.

Ruhusa ya maandamano haitolewi police,

Ruhusa ya maandamano imetolewa na KATIBA ya nchi.

Usitoe Boko kamanda Erythrocyte
Niliandika BARUA YA POLISI KUHUSU MAANDAMANO YA CHADEMA HII HAPA , hili ndio tatizo la moderators wa JF wanaedit wasichokijua .

Utashangaa Maandamano ya Arusha nayo wakamchomeka Makonda ili apate ujiko kwenye uzi wa Chadema kama walivyofanya Mbeya
 
Mjitahidi kuwa wengi msibebe watu kutoka Manyara kama mlivyofanya Mbeya mkabeba watu kutoka Tanga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jisikilize mwenyewe halafu ujicheke ..!Chadema siyo CCM .Chadema hawajawi kubeba watu na malori .Ni hivi UVCCM tafuteni uzushi mwingi huu hakuna atakaye waamini
 
Ni kweli inapaswa kuwa hivyo, ila ukweli halisi unaujua.
Naujua UKWELI,

2020 walijichagua wenyewe majimbo yote,

Walipokuja kusoma Katiba, wakagundua kuwa Haiwezekani kuunda Serikali katika Nchi ya vyama vingi bila KAMBI RASMI YA UPINZANI.

Kilichotokea ni kwenda kuwateka wabunge Ili wapewe ubunge wa lazima mambo yaende.

Ndo hapo UKWELI unabakia pale pale kuwa,

Wanaosema KATIBA ni kijitabu, kijitabu hicho hicho ndicho kulitatua mzizi wa nani awe Rais baada ya msiba wa March 2021.
 
Swali muhimu ni kuwa Sa100 atarudi nchini kabla ya tarehe 27 baada ya kumaliza maziko Ili kusikiza HOJA za waandamanaji,

Au ataunganisha safari ingine huko duniani?
 
Back
Top Bottom