Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Usisahau hiyo katiba huwa wanaifuata pale tu wanapotatua tofauti baina yao.Naujua UKWELI,
2020 walijichagua wenyewe majimbo yote,
Walipokuja kusoma Katiba, wakagundua kuwa Haiwezekani kuunda Serikali katika Nchi ya vyama vingi bila KAMBI RASMI YA UPINZANI.
Kilichotokea ni kwenda kuwateka wabunge Ili wapewe ubunge wa lazima mambo yaende.
Ndo hapo UKWELI unabakia pale pale kuwa,
Wanaosema KATIBA ni kijitabu, kijitabu hicho hicho ndicho kulitatua mzizi wa nani awe Rais baada ya msiba wa March 2021.
Ila ikiwa ni kwa wapinzani wao, wanaisigina bila huruma.