Pre GE2025 Polisi waridhia Maandamano ya CHADEMA Arusha, wasisitiza kuzingatia Sheria za Nchi

Pre GE2025 Polisi waridhia Maandamano ya CHADEMA Arusha, wasisitiza kuzingatia Sheria za Nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Barua ambayo imeelekezwa kwa CDM jimbo la Arusha Mjini, wewe unaiweka mtandaoni, kana kwa ni press release. Huo ni ujuha. Toa hapa hii barua, ibaki kwenye file.
Ngoja niitoe haraka , asante kwa ushauri
 
Agenda za maandamano hamzitangazi vizuri chadema,kelelee zipigwe watu waamke
1.) KATIBA MPYA.
2.) TUME HURU YA UCHAGUZI.
3.) GHARAMA ZA MAISHA KUPAA.
Nyongezaaa......
4.) Ukosefu wa ajira
5.) Shida ya umeme,maji,sukari,dawa.
6.) Matumizi mabaya ya kodi zetu(miradi mkakati kutokamilika kwawakati)
7.) Mahakama na bunge kutoaminika.
8.) Viongozi kutoa rushwa kipindi hiki kupelekea chaguzi
.....
 
Ajali imeua watu 15 , njaa ya ugumu wa maisha inaua mamia , tutaandamana ila tutavaa vitambaa vyeusi
Sishauri maana hii haitakuwa na afya bora isogezwe hata kwa siku 3, nipo Arusha hali halisi ni mbaya kwa wananchi watu 25 kufa + majeruhi ni balaa lakini ni ushauri wangu.
 
Back
Top Bottom