Pre GE2025 Polisi waridhia Maandamano ya CHADEMA Arusha, wasisitiza kuzingatia Sheria za Nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kufikia June tu hapo, kama ni mto, utafurika na kutapika.

Tusubiri.
Msituangushe sasa huwa tunajitokeza watu wachache sana kuandamana watu 50 unajua huwa haipendezi inachosha sana hata wanafunzi wanaorudi nyumbani kutoka shule wanaonekana wako wengi kuliko sisi

Jitokezeni kwa wingi msitusaliti kwenye mitandao mpo wengi ila mtaani mnatuacha peke yetu
 
50 ni wengi sana,

Mwanzo mlisema hakuna Mtanzania anaweza kuandamana,

Saiz mnasema 50, mara matembezi,

Mtasema lugha zote, Kila kitu kimewashinda,

Wananchi tunakuja kuwahukumu.
 
Kabisa walisema mengi huu ndo muda wetu wa kuwaonyesha tatizo matembezi yetu tunakua wachache sana jaribu kuwashawishi marafiki zako waje waongezeke tuwe wengi kuandamana watu 50 ni wachache
 
50 ni wengi sana,

Mwanzo mlisema hakuna Mtanzania anaweza kuandamana,

Saiz mnasema 50, mara matembezi,

Mtasema lugha zote, Kila kitu kimewashinda,

Wananchi tunakuja kuwahukumu.
Wakae wakijua haya si maandamano ya CHADEMA, ni maandamano ya Watanzania wote. Hata wale ambao hawaonekani barabarani wakiandamana, wanaandamana ndani ya mioyo yao!
Hebu fikiria;
-hakuna sukari
-umeme shida
-maji shida
-mfumko wa bei
-n.k
 
Wanaelewa, ni wanajitoa ufahamu,

Maigizo ya Mwenezi Yako wapi saiz!!
 
Arusha tuna msiba mzito.Hatuna muda na hadithi ya maandamano.Ajali mbaya iliyohusisha magari 4 imesababisha watu wengi kupoteza maisha.Jiji lipo kwenye msiba mzito.
 
Tutaongeza Bango kwenye maandamano kulaani mfumo mbovu wa ukaguzi vyombo vya moto unasababisha magari mabovu kuingia barabarani na kusababisha Ajali.
 
Ndio tatizo la kugeuza kila kitu siasa. Gari na dereva ni kutoka Kenya.
 
Arusha tuna msiba mzito.Hatuna muda na hadithi ya maandamano.Ajali mbaya iliyohusisha magari 4 imesababisha watu wengi kupoteza maisha.Jiji lipo kwenye msiba mzito.
tutaandamana huku tumevaa vitambaa vyeusi
 
Kweli kabisa Mkuu
Screenshot_2024-02-20-17-45-58-1.png
 
Back
Top Bottom