Pre GE2025 Polisi waridhia Maandamano ya CHADEMA Arusha, wasisitiza kuzingatia Sheria za Nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Usisahau hiyo katiba huwa wanaifuata pale tu wanapotatua tofauti baina yao.

Ila ikiwa ni kwa wapinzani wao, wanaisigina bila huruma.
 
Huyu secretary aliyeandika hii barua usikute ni form failure!
Hiyo namba 6, alimaanisha nini kusema "nawatakiwa"?!
Polisi kwenye masuala ya uandishi unaweza ukacheka hadi ukachana mbavu , ni sifuri yenye masikio
 
Usisahau hiyo katiba huwa wanaifuata pale tu wanapotatua tofauti baina yao.

Ila ikiwa ni kwa wapinzani wao, wanaisigina bila huruma.
Jinai haifi,

Nimeona Kwa macho yangu wazee waliowahi kuwa viongozi wakipandishwa kizimbani kujibu case walizotenda wakiwa uongozini miaka mingi ilopita.
 
Jinai haifi,

Nimeona Kwa macho yangu wazee waliowahi kuwa viongozi wakipandishwa kizimbani kujibu case walizotenda wakiwa uongozini miaka mingi ilopita.
Na waliokutwa na hatia na kufungwa umewaona?
 
Haya mandamano ni mzaha mzaha** lakini ninahisi yatatumbua **usaha.

Kuna jambo watu wengi wanalipuuzia hapa!

Acha tuone!
 
Mzingatie namba 3 na 4.

Sawa makamanda??
 
Matembezi Yana kishindo Hadi kutaka kuingiliwa na Biteko.

Na Kwa taarifa Yako,

Maandamano hayo ni non stop Hadi uchaguzi.
Tatizo kwenye hayo matembezi huwa tunajitokeza watu 60 tu wengine huwa mnakua wapi? Jitokezeni tufike hata 100 basi wazee tujipange mistari 10 ya watu 10
 
Tatizo kwenye hayo matembezi huwa tunajitokeza watu 60 tu wengine huwa mnakua wapi? Jitokezeni tufike hata 100 basi wazee tujipange mistari 10 ya watu 10
Kufikia June tu hapo, kama ni mto, utafurika na kutapika.

Tusubiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…