Msituangushe sasa huwa tunajitokeza watu wachache sana kuandamana watu 50 unajua huwa haipendezi inachosha sana hata wanafunzi wanaorudi nyumbani kutoka shule wanaonekana wako wengi kuliko sisiKufikia June tu hapo, kama ni mto, utafurika na kutapika.
Tusubiri.
50 ni wengi sana,Msituangushe sasa huwa tunajitokeza watu wachache sana kuandamana watu 50 unajua huwa haipendezi inachosha sana hata wanafunzi wanaorudi nyumbani kutoka shule wanaonekana wako wengi kuliko sisi
Jitokezeni kwa wingi msitusaliti kwenye mitandao mpo wengi ila mtaani mnatuacha peke yetu
Kabisa walisema mengi huu ndo muda wetu wa kuwaonyesha tatizo matembezi yetu tunakua wachache sana jaribu kuwashawishi marafiki zako waje waongezeke tuwe wengi kuandamana watu 50 ni wachache50 ni wengi sana,
Mwanzo mlisema hakuna Mtanzania anaweza kuandamana,
Saiz mnasema 50, mara matembezi,
Mtasema lugha zote, Kila kitu kimewashinda,
Wananchi tunakuja kuwahukumu.
😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787] fala sana
Kweli kabisa MkuuPolisi kwenye masuala ya uandishi unaweza ukacheka hadi ukachana mbavu , ni sifuri yenye masikio
Wakae wakijua haya si maandamano ya CHADEMA, ni maandamano ya Watanzania wote. Hata wale ambao hawaonekani barabarani wakiandamana, wanaandamana ndani ya mioyo yao!50 ni wengi sana,
Mwanzo mlisema hakuna Mtanzania anaweza kuandamana,
Saiz mnasema 50, mara matembezi,
Mtasema lugha zote, Kila kitu kimewashinda,
Wananchi tunakuja kuwahukumu.
Mramba na YonaNa waliokutwa na hatia na kufungwa umewaona?
Wanaelewa, ni wanajitoa ufahamu,Wakae wakijua haya si maandamano ya CHADEMA, ni maandamano ya Watanzania wote. Hata wale ambao hawaonekani barabarani wakiandamana, wanaandamana ndani ya mioyo yao!
Hebu fikiria;
-hakuna sukari
-umeme shida
-maji shida
-mfumko wa bei
-n.k
Why Samia. Is Samia a constitution? Do you know your constitutional rights? Or you just shake buttocks for nothing.Samia deserves credits
Tutaongeza Bango kwenye maandamano kulaani mfumo mbovu wa ukaguzi vyombo vya moto unasababisha magari mabovu kuingia barabarani na kusababisha Ajali.Arusha tuna msiba mzito.Hatuna muda na hadithi ya maandamano.Ajali mbaya iliyohusisha magari 4 imesababisha watu wengi kupoteza maisha.Jiji lipo kwenye msiba mzito.
Ndio tatizo la kugeuza kila kitu siasa. Gari na dereva ni kutoka Kenya.Tutaongeza Bango kwenye maandamano kulaani mfumo mbovu wa ukaguzi vyombo vya moto unasababisha magari mabovu kuingia barabarani na kusababisha Ajali.
tutaandamana huku tumevaa vitambaa vyeusiArusha tuna msiba mzito.Hatuna muda na hadithi ya maandamano.Ajali mbaya iliyohusisha magari 4 imesababisha watu wengi kupoteza maisha.Jiji lipo kwenye msiba mzito.
Kweli kabisa Mkuu
Huwa mnaomba eeh shnz type kabisa!
Mwenezi atakuwa amekata pumziWanaelewa, ni wanajitoa ufahamu,
Maigizo ya Mwenezi Yako wapi saiz!!
idiot in kind!Ruhusa imetolewa ila waandamanaji sasa labda mkodi kutoka Kenya hapo
Bado anajiuliza, dereva aliyeshika break ya nyundo kwenye msafara wake ghafula alionao nini!!Mwenezi atakuwa amekata pumzi