Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 6,450
- 17,648
Lakini hilo jukumu si la uhamiaji? Polisi wamehusika vipi?
Naona polisi wameamua kuipiga shoti serikaliKwahivyo wameshakuwa UHAMIAJI?
Mkuu, ajifunze kuiaga serikali pindi anaposafiri bhana.Hahahahahaha, kusafiri bila kufuata sheria ndio kwa namna gani huko?..
Ukiwa na Passport, visa yauendako na tiketi ya ndege unahitaji nini kingine?.
Kama uendako wamekupa Visa, na imegongwa kwenye passport yako shida ni nini hapo?.
Nashukuru sana sina ndugu PolisiNasoma comments zenu tu
Yesu akasema β mama na ndugu zangu ni hawa wanaosikiliza Nemo la Mungu na kulishikaβ πNashukuru sana sina ndugu Polisi
Hujui wewe huyo Golugwa aweza kuwa sio raia ana uraia wa nchi mbili na passport za nchi mbili za majina tofautiutaratatibu gani ni mfanyakazi wa serikali?. Hii kweli CCM hakuna akili na idara zenu.
Kuna mda unajiuliza VIZA yangu Passport yangu,Tiketi yangu alafu umri sio wakupangiwa Hivi nyie jeshi mnaongozwa na muriro akili upepo wa kisulisuli hii kauli
Wanaakili ndogo sana hawajui kama hotuha ilishatumwa kuleWalichokitaka ,kimeshindika hotuba iko palepale ,itosomwa kwa ukamilifu ndani ya mkutano wa IDU