Yaani mnatakiwa msisafiri na kurudi nchini kwa siri! Na badala yake siku ukisafiri kwenda nje, na pia siku ta kurudi; hakikisha unaenda uwanja wa ndege na kikundi cha matarumbeta ya kukusindikiza ili kila mtu ajue unasfiri. Na siku ya kurudi unafanya hivyo hivyo.
Uhamiaji wakishagundua unavunja sheria ya uhamiaji huwa wanakukabidhi kwa jeshi la polisi ambalo ndilo lenye mamlaka ya kukukamata na hatimaye kukupeleka kwenye mahakamani baada ya kukamilisha kukuchunguza.
Kazi ya maafisa wa uhamiaji siyo ya kukamata, kuchunguza na kukushitaki mahakamani. Polisi wamefanya kazi yao ya kumkamata Golugwa. Na msajili wa vyama vya siasa amebatilisha unaibu katibu mkuu wa Goluga.