Polisi wasema wivu wa mapenzi chanzo mauaji ya watu 7 wa familia moja Kigoma

Polisi wasema wivu wa mapenzi chanzo mauaji ya watu 7 wa familia moja Kigoma

Nishaacha muda sana, ni mwaka sasa. Ukila mke wa mtu mmoja unakuwa km umewekea nyota fulani.
Kwahiyo unajikuta kila mwanamke unayempata ni mke wa mtu.
Nishapita nao 3 ila kuna mmoja huyo angenikamata angeniua bahati sehemu hiyo nilikuwa nimeondoka.
Namiliki chombo changu safi siyo mke wa mke.
Nakuhurumia Utakufa vibaya wewe kijana (In mch Magembe's voice)
 
Katika wanawake niliotembea nao wawili ni tamaa za kupata mali yaani kuwa na maisha mazuri.
Mmoja ni jamaa kuwa bize sana na kazi, alikuwa anafanya kazi za ulinzi na kumtukana.
Wengi wanatamaa za kupata hela. Kumbuka ndoa siyo ngono
Dogo utakuja kunyea debe. Falsafa ya kipuuzi sana hiyo. Wanawake wamejaa mitaani.

Ukiona unachukuliwa mke, ni ushahidi tosha ulikuwa humtoshelezi. Hivyo kujichukulia sheria mkononi ni ujinga! Tafuta mnyonge wako, oa!
 
Katika wanawake niliotembea nao wawili ni tamaa za kupata mali yaani kuwa na maisha mazuri.
Mmoja ni jamaa kuwa bize sana na kazi, alikuwa anafanya kazi za ulinzi na kumtukana.
Wengi wanatamaa za kupata hela. Kumbuka ndoa siyo ngono
"Humtoshelezi" ni neno pana. Sijamaanisha ngono tu.
 
Umekutana ukubwani, unajua aliyemtoa bikira?
Mwanamke kapitia mahusiano 3 hata 4 na wote wamepiga halafu wewe wa 5 au 6 ndiyo unajifanya unampenda sana huyo mwanamke. Huo ndiyo ukichaa
Utagombana sana na wanaume wenzako hata kufia jela kwasabb ya mwanamke. Huyo jamaa atafia jela halafu mwanamke ataolewa na kuzalishwa
Ukimfuma mkeo, msamehe mrudiane au piga chini.
Kumlinda mwanamke asichepuke ni sawa na kulinda bahari. Utalinda kigamboni ila mbweni watu wanaogelea.
Ukimkamata jamaa anatembea na mkeo, unamuua unaenda jela maisha halafu huku uraiani watu wanamgonga kama kawaida.
Achana na wake za watu kijana, la sivyo na wewe yatakupata.
 
Huwezi kumtosheleza mwanamke hata siku moja. Binadamu yoyote tuna mapungufu mengi.
Ukiwa na mwanamke na hachepuki usijidanganye unamtosheleza ndiyo maana amekaa kwako.
Ameridhika. Mwanamke akiridhika mwenyewe hatoki nje hata kama mle ugali na dagaa na usiku mle viazi na chai.
"Humtoshelezi" ni neno pana. Sijamaanisha ngono tu.
 
Back
Top Bottom