Polisi wasema wivu wa mapenzi chanzo mauaji ya watu 7 wa familia moja Kigoma

Polisi wasema wivu wa mapenzi chanzo mauaji ya watu 7 wa familia moja Kigoma

Pongezi kwa Jeshi letu la Polisi kwa kufanikisha ukamataji wa huyu Muhalifu kwa haraka.
sasa sheria ifanye kazi yake, isikilizwe haraka na ikitiwa hatiani basi naye apate Haki yake ya KUNYONGWA hadi kufa.

Tatizo sheria ya kunyonga haitekelezwi!!! ndio maana wauwaji wanauwa tu bila kujali, ingekuwa adhabu za kunyongwa zinatekelezwa huenda vitendo vya mauaji vinge pungua.
 
Aisee!! Ndo auwe nyumba nzima.
Hivi unaamini Kabisa Hii taarifa ya polisi?

Kwa akili ya kawaida sio rahisi mtu mmoja auwe watu Saba kwa panga yaani anaanzia chumba hiki anawapiga panga, kwamba hata mayowe ya kuomba msaada hayakuwepo?

Anamaliza kuwaua chumba kimoja anakuja chumba cha pili wahusika Bado wamelala hawana habari? Serious?

Basi tufanye aliwapilizia dawa ya usingizi, Kama ni kweli aliwapulizia hiyo dawa inakuwaje mtoto mdogo wa miezi kadhaa anusurike wakati Ile dawa ya usingizi ingemuathiri sababu ya uwezo mdogo wa mapafu yake kuhimili ukali wa dawa.

Tuache utani, Bado Kunaaswali mengi yaliyokosa majibu.

Kwa nchi za wenzetu uko hili tukio lingechunguzwa kwa kina kujua sababu hasa na wahusika wangeshikwa wote.

Tuache kuishi kwa mazoea, sio kila habari ni ya kuzipokea Kama ilivyo. Wenye akili uhoji kujua sababu.

Kiukweli Bado inafikirisha Sana.
 
Inasikitisha sana, unaua familia kisa nyuchi...
 
Alafu wanasema wamejirizisha pasinashaka kuwa mtuhumiwa katenda alafu wana kwambia watamfkkisha mahakaman baada ya uchunguz kukamilika ,......hapa kuna assingment bado polisi wafanye wasije kukosea haki ha mtu
Na bado Jana wanasema maiti zinaweza kufukuliwa ili kupima kama damu zao zinaendana za zilizopo kwenye vielelezo vya mtuhumiwa,sasa waliposema wamejirdhisha walimaanisha nini?kwanini hawakuchukua hizo DNA sample na wao ndio walikuwa wakwanza kufika eneo la tukio?
 
Na bado Jana wanasema maiti zinaweza kufukuliwa ili kupima kama damu zao zinaendana za zilizopo kwenye vielelezo vya mtuhumiwa,sasa waliposema wamejirdhisha walimaanisha nini?kwanini hawakuchukua hizo DNA sample na wao ndio walikuwa wakwanza kufika eneo la tukio?
kuna ubaya gani kama wanataka kujiridhisha zaidi kwa kutumia ushahidi huo wa smpuli ya damu!! maana ushahidi unapo kuwa unajitosheleza ndio jambo jema, tuache wataalamu wafanye kazi yao.
 
KATIKA TUKIO HILI LA UKATILI, KUNA SOMO KUBWA TUNAKUMBUSHWA

Kut 20:17 usimtamani mke wa jirani yako;Usiitamani nyumba ya jirani yako,wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng’ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako.

SASA UKATAMANI VYA WENZAKO NA KUVITUMIA, JIANDAE NA MATOKEO YAKE.
SISI WENGINE TUTABAKI KUWA WALALAMIKAJI, WASHAURI, WANASIHI, WANAHISTORIA, WANA MAOMBI, NA HATUTAWEZA KUBADIRISHA MATOKEO,WATU 7 WAMEKUFA SASA.
 
Kuna mmoja alilieta mazoea nikapiga nikasepa. Nikamchunia mpk leo na sijawahi kumtafuta huu ni mwaka sasa. Sitaki mazoea na wake za watu kabisa. Hawa kukua ni dakika 1 tu ushakufa.

Wake za watu siyo poa ila kutoa mbususu huwa hawajivungi na hubaniwi. Mkihaidiana muda wa kupiga show, ni show siyo wale umpe nauli , umnunulie chips na umwagie nje
Nakuhurumia Utakufa vibaya wewe kijana (In mch Magembe's voice)
 
Jeshi la polisi mkoani Kigoma linamshikilia mtuhumiwa wa mauaji ya watu sita (baadaye alifariki Mtoto hivyo idadi ya vifo kufika7) bwana Peter Morris (33) wakati upepelezi ukiendelea.

Taarifa za awali zinadai Peter Morris alikuwa akimtuhumu January Mussa (marehemu) kutembea na mke wake.

=====================

Akiri kuua watu saba Kigoma kisa wivu wa mapenzi
Jeshi la Polisi mkoani Kigoma limethibitisha kumkamata mkazi wa Mlole Manispaa ya Kigoma Ujiji Peter Moris ambaye ni fundi ujenzi akituhumiwa kwa mauaji ya watu saba wa familia moja katika kijiji cha Kiganza mkoani Kigoma yaliyotokea usiku wa kuamkia Jumapili iliyopita

Akizungumza na Waandishi wa habari, Mkuu wa oparesheni na mafunzo wa Jeshi la Polisi Tanzania Kamishna Liberatus Sabas amesema mtuhukiwa Peter Moris amekamatwa Mjini Kigoma na wamejiridhisha kuwa mtuhumiwa ametekeleza mauaji hayo peke yake kwa kutumia panga na kwamba baada ya kumhoji amedai sababu ni marehemu January Mussa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mke wake.

Aidha Kamishna Sabas amesema wananchi wametoa ushirikiano mkubwa kufanikisha kukamatwa kwake na atafikishwa mahakamani mara baada ya uchunguzi kukamilika ambapo pia ameeleza kuwa idadi ya waliokufa imeongezeka baada ya mtoto aliyejeruhiwa kufariki mkoani Morogoro wakati akiwa njiani kupelekwa Hospitali ya taifa ya muhimbili.

Kwa upande wake Mratibu wa kanda ya magharibi wa mtandao wa watetezi wa haki za Binadamu Tanzania THRDC Alex Luoga amelaani tukio hilo na kuitaka jamii kutumia njia sahihi na za kisheria kumaliza matatizo.
Waafrika hususani watanzania wengi wanateseka na mahusiano yao, yaani state house hadi level ya mjumbe wa nyumba kumi, watu wanapambana kupata mahusiano yenye afya.

Taifa lipo kwenye mkwamo mkubwa sana.
 
Achana na wake za watu kijana, la sivyo na wewe yatakupata.
Dogo utakuja kunyea debe. Falsafa ya kipuuzi sana hiyo. Wanawake wamejaa mitaani.

Ukiona unachukuliwa mke, ni ushahidi tosha ulikuwa humtoshelezi. Hivyo kujichukulia sheria mkononi ni ujinga! Tafuta mnyonge wako, oa!
 
Back
Top Bottom