Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kitu kimejificha hapa. Vinginevyo tumefungwa kamba na kupigwa na kitu kizito..hata mimi hainiingii akilini, mtu mmoja kuua watu wote peke ake???bila wengine hata kupambana etc
Ulivyoelewa ndivyo vivyo hivyo.Alikuwa anatembea nae kuelekea wapi? Kiswahili kigumu sana
Kitandani!!Alikuwa anatembea nae kuelekea wapi? Kiswahili kigumu sana
Hivi unaamini Kabisa Hii taarifa ya polisi?Aisee!! Ndo auwe nyumba nzima.
Na bado Jana wanasema maiti zinaweza kufukuliwa ili kupima kama damu zao zinaendana za zilizopo kwenye vielelezo vya mtuhumiwa,sasa waliposema wamejirdhisha walimaanisha nini?kwanini hawakuchukua hizo DNA sample na wao ndio walikuwa wakwanza kufika eneo la tukio?Alafu wanasema wamejirizisha pasinashaka kuwa mtuhumiwa katenda alafu wana kwambia watamfkkisha mahakaman baada ya uchunguz kukamilika ,......hapa kuna assingment bado polisi wafanye wasije kukosea haki ha mtu
kitu kizito sanaaa!Kuna kitu kimejificha hapa. Vinginevyo tumefungwa kamba na kupigwa na kitu kizito..
kama kuna kitu unakijua zaidi nenda katoe taarifa polisi nahakika utakuwa umesaidia zaidi kuliko kuleta majungu hapa.Kuna kitu kimejificha hapa. Vinginevyo tumefungwa kamba na kupigwa na kitu kizito..
kuna ubaya gani kama wanataka kujiridhisha zaidi kwa kutumia ushahidi huo wa smpuli ya damu!! maana ushahidi unapo kuwa unajitosheleza ndio jambo jema, tuache wataalamu wafanye kazi yao.Na bado Jana wanasema maiti zinaweza kufukuliwa ili kupima kama damu zao zinaendana za zilizopo kwenye vielelezo vya mtuhumiwa,sasa waliposema wamejirdhisha walimaanisha nini?kwanini hawakuchukua hizo DNA sample na wao ndio walikuwa wakwanza kufika eneo la tukio?
Kuelekea TimbuktuAlikuwa anatembea nae kuelekea wapi? Kiswahili kigumu sana
Huyu tumpeleka UkraineJamaa ako na roho mbaya aisee, unaua watu saba peke yako!!
Tutaendelea kuwatafuna kwa sasabu hatuwabaki ukitushambulia utakwenda jela na mkeo atandelea kuliwaNi fundisho kwa wengine, Eshim wake za watu kama unaipenda familia yako.
Nakuhurumia Utakufa vibaya wewe kijana (In mch Magembe's voice)Kuna mmoja alilieta mazoea nikapiga nikasepa. Nikamchunia mpk leo na sijawahi kumtafuta huu ni mwaka sasa. Sitaki mazoea na wake za watu kabisa. Hawa kukua ni dakika 1 tu ushakufa.
Wake za watu siyo poa ila kutoa mbususu huwa hawajivungi na hubaniwi. Mkihaidiana muda wa kupiga show, ni show siyo wale umpe nauli , umnunulie chips na umwagie nje
Waafrika hususani watanzania wengi wanateseka na mahusiano yao, yaani state house hadi level ya mjumbe wa nyumba kumi, watu wanapambana kupata mahusiano yenye afya.Jeshi la polisi mkoani Kigoma linamshikilia mtuhumiwa wa mauaji ya watu sita (baadaye alifariki Mtoto hivyo idadi ya vifo kufika7) bwana Peter Morris (33) wakati upepelezi ukiendelea.
Taarifa za awali zinadai Peter Morris alikuwa akimtuhumu January Mussa (marehemu) kutembea na mke wake.
=====================
Akiri kuua watu saba Kigoma kisa wivu wa mapenzi
Jeshi la Polisi mkoani Kigoma limethibitisha kumkamata mkazi wa Mlole Manispaa ya Kigoma Ujiji Peter Moris ambaye ni fundi ujenzi akituhumiwa kwa mauaji ya watu saba wa familia moja katika kijiji cha Kiganza mkoani Kigoma yaliyotokea usiku wa kuamkia Jumapili iliyopita
Akizungumza na Waandishi wa habari, Mkuu wa oparesheni na mafunzo wa Jeshi la Polisi Tanzania Kamishna Liberatus Sabas amesema mtuhukiwa Peter Moris amekamatwa Mjini Kigoma na wamejiridhisha kuwa mtuhumiwa ametekeleza mauaji hayo peke yake kwa kutumia panga na kwamba baada ya kumhoji amedai sababu ni marehemu January Mussa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mke wake.
Aidha Kamishna Sabas amesema wananchi wametoa ushirikiano mkubwa kufanikisha kukamatwa kwake na atafikishwa mahakamani mara baada ya uchunguzi kukamilika ambapo pia ameeleza kuwa idadi ya waliokufa imeongezeka baada ya mtoto aliyejeruhiwa kufariki mkoani Morogoro wakati akiwa njiani kupelekwa Hospitali ya taifa ya muhimbili.
Kwa upande wake Mratibu wa kanda ya magharibi wa mtandao wa watetezi wa haki za Binadamu Tanzania THRDC Alex Luoga amelaani tukio hilo na kuitaka jamii kutumia njia sahihi na za kisheria kumaliza matatizo.
Achana na wake za watu kijana, la sivyo na wewe yatakupata.Kuna watu ni wajinga sana. Sasa wivu wako wa mapenzi ndiyo ukaue watu wasio na hatia!
Sheria ifuate mkondo wake.
Dogo utakuja kunyea debe. Falsafa ya kipuuzi sana hiyo. Wanawake wamejaa mitaani.Achana na wake za watu kijana, la sivyo na wewe yatakupata.